Natambulisha Live Online Tv kwenu

Fox Sports 1,2 sasa zinapatikana live kwenye Online Tv App, pia channel za Kenya zimeekebishwa na sasa zinafanya kazi, KBC, NTV,na KTN
 
Mkuu kama kuna solution ya Buffering ungetuwekea hapa, maana sometimes kama unaangalia mpira unakuta channel inakuwa ina load sana hata wakati mechi inaendelea still ina nata nata sana, Na natumia 4G na simu haina makorokoro mengi
 
Mimi niliingiza enzi zile mwanzo sijawai ona chanel zimeongezeka, natafta sehemu labda ni update sipati sa sijui vip
 
Back
Top Bottom