Natambulisha Live Online Tv kwenu

Mechi ya arsenal na man united nimeweza kuiona kwenye skysports1 lakini mechi nyingize zilizofuata hazikuweza kufunguka
 
Mkuu Mimi nina Nia Na ndoto ya kufungua Tv Yangu hapo baadaye ila Kwa sasa naitaji kufungua Tv ya online kupitia internet ili nijue ata idea unavyokuwa... Kama unajua/ Kwa yoyote anajua jinsi ya kufungua Tv online bac naomba anijuze kunipa huo msaada. Asante
 
Ipo app ina hizo channel za azam zote kesho nitaiweka hapa, pia ilishawahi kuwekwa na mdau humu.

UPDATE:

DIRECT LINK
http://store.mdcgate.com/market/app_detail/downloadApp?appID=22&platformID=6

Fungua hapo kisha dawnload hiyo App na install
Ifungue nenda sehemu ya search andika
Azamone
Azamtwo
azam hd
Andika kama nilivyo andika hapo kisha search na select jina la channel uliyo tafuta utaona neno play bofya hapo then enjoy.

Kwa local chanel
Tbc
Channel ten
Zbc nk
Dawnload Simu.tv
Other channel tumia mobdro.
toa huu uchafu unapotezea watu muda,jipange uje tena
 
Back
Top Bottom