Natambulisha Live Online Tv kwenu

Nimeinstall kwenye simu lakini nikifungua nasikia sauti tu sioni kitu chochote mkuu.
 
Jamani kwa heshima na unyenyekevu mwingi, nimetengeneza application ya kutazama live Tv online lakini bado sijaiweka Play store kwa hiyo unaweza ukaidownload kwa kubonyeza link hiyo chini, Kuna channel zaidi ya 20, zikiwemo azam one,azam two,Azam sports HD, Super Sport 1,2,3, na nyingine nyingi, unapo-install itabidi uruhusu instalation from unknown sources, kwa kuwa haijawekwa bado play store na pia maboresho yanaendelea Download Online Tv
Inanikatalia 'you dont have permission to view this file.' Reload
 
Jaribu kudownload hii attachment
Ahsante imekubali
e1179923bf104081917f514277f80a62.jpg
 
Daaaah mkuu hongera sana yaani hapa nacheki game ya madrid na athletic clear kabisa Kupitia azam sports hd bila chenga,marekebisho tunaomba utuwekee iwe ina autorotate
 
Hongera ndugu nimeipakua inafanya kazi vizuri.

Angalizo kuna mmoja ya Azam two nlikua nayo ila wakati wa mechi kunakua na BUFFERING nyingi sana

Kama utaweza naomba utuondolee iyo kitu

Ni vp ukitaka kuview full screen?
 
Hongera ndugu nimeipakua inafanya kazi vizuri.

Angalizo kuna mmoja ya Azam two nlikua nayo ila wakati wa mechi kunakua na BUFFERING nyingi sana

Kama utaweza naomba utuondolee iyo kitu

Ni vp ukitaka kuview full screen?
kwenye ishu ya kuwa na boofering nyingi ni sababu ya network, lakini hata hivyo tunafanya maboresho ambayo yatakuwezesha ku stream kulingana na speed ya network unayotumia, ila kwenye ishu ya full screen utabonyeza sehemu yoyote ya video ikianza kuplay, kisha upande wa kulia chini utaona icon ukiibonyeza hiyo itaweka full screen, japokuwa bado tunazizi kuboresha
 

Attachments

  • Screenshot_2016-10-23-19-01-30.png
    Screenshot_2016-10-23-19-01-30.png
    70.1 KB · Views: 108
Back
Top Bottom