Natambulisha Live Online Tv kwenu

Link inatoka vzr na inanipa options za kudownload lkn kila nikibonyeza action yyte hakuna kinachoendelea mkuu
 
Me nashindwa kudownload inaandika server error na nimeruhusu download from other sources
 
sawa kiongozi nashukuru kwa ushauri wako nitaufanyia kazi na pia baada ya siku chache nitaiweka play store, kwa hiyo hizo karaha zitaondoka
Angalizo mdau ukiiweka play store please tujulishe tena ili tuweze kudownload clean stuff,
Nakutakia mafanikio mema mkuu
 
Good stuff kwakweli ukituwekea na ma Itv na hii Tv1 wengine tusio na startimes hatuijui utakuwa umecheza iko poa kwakuwa pia haina traffic
1477246559608.png
 
Back
Top Bottom