Natamani ningekua nimezaliwa miaka 80 iliyopita!!!!

Unaufahamu umuhimu wa ustawi wa wana?

naufahamu vizuri sana,mimi pia ni mzazi tena wa watoto wakubwa tu!nalizungumza hili kwa ajili ya ndoa yako my dear ukiona ushauri wangu haukufai wala nisingependa ujisikie vibaya wala kuhamanika,wewe litatue hili vile unaamini ni sawa!
 
Usijali,hapa huniri mimi tu,bali watu wengi,lengo langu sio mimi tu bali wengine pia,so unaposhauri usinilenge mimi tu.Ndo maana hata maswali mengine unatakiwa uyajibu!
 
Usijali,hapa huniri mimi tu,bali watu wengi,lengo langu sio mimi tu bali wengine pia,so unaposhauri usinilenge mimi tu.Ndo maana hata maswali mengine unatakiwa uyajibu!
samahani kama umehisi nakulenga wewe,but niliona niende na thread ulivoipost,najua hilo ni tatizo la watu wengi sana since maisha yamekuwa na changamoto nying sana sasa hivi,nakuelewa sana pengine nami nilipita katika ugumu huo and wat isuggested was how i tackled my problem for tha case so ilikuwa ni katika kujaribu kusaidiana tu,and for the record napenda sana familia yenye watoto wenye amani na furaha kwani wao ndoa wanatufanya tupige mzigo kazini AU SIO?lakini my idea was wewe/au mwngine yoyote awaye yupo mbali kihisia na mke/mume wake so nikajaribu kupendekeza la kufanya,so inawezekana kwa wengine walio kwenye tatizo hilo kwao inaweza ikawa msaada au isiwe msaada pia it depends on how u apply it and kind of a relationship u have with ur partner.sawa mdau?maswali yapi sijayajibu my dear?
 
Usiombe samahani kwani hujanikosea.Nimekuelewa mama!
 
Huu mji wa Dar wala haufai kabisa kwa maisha ya familia...ni tatizo kubwa sana..foleni ni tatizo sugu na dhaifu wanasema hayo ni maendeleo!!
 
Hujaelewa thread yako umezungumzia kurudi usiku......

Hata kama umejiajiri unafanya kazi hadi saa mbili usiku? Unless una biashara ya bar au hoteli, ambayo pia si lazima ndani ya siku saba za wiki uwe unasimamia usiku....

Maisha ni jinsi ya kupanga, kama usafiri ni mgumu tafuta alternative, nikupe mfano mie nina kibannda tegeta, lakini nimepangisha na naishi sehemu nyingine, hii ni kukimbia foleni ili nipate muda wa kusimamia shughuli zangu vyema, na principle ni kuwa kumi na nusu nikichelewa kumi na moja na nusu niwe nimeanza safari ya kurudi home, na natumia kati ya 30-1hr nafika home na kusimamia mambo mbalimbali....

Changamoto zinapaswa kutufanya akili zichaji na na kutafuta alternative, lakini ukiacha changamoto zikuendeshe baba, mama, watoto hamtabond busy busy busy

ni wanafamilia kujipanga, mkishindwa kabisa kuwa wote basi weekend zitumike kikamilifu kuspend na familia

BADILI TABIA,hujaelewa kitu hapo.Changamoto sio kuja usiku pekee zipo nyingi kwenye familia na maisha ya leo.Nakumbuka mwaka 1998 nilipata ajira kwenye kampuni moja,mkurugenzi na mkewe ni kama sio mtu na mkewe,katika miaka yangu 7 ya kufanya kazi pale ni wiki moja tu walikaa pamoja!!
 
Last edited by a moderator:
Jipange upya mkuu,

Kwani mkono wa kulia ukikatika ajalini unajiua?? Na wanaokatika mikono au miguu hawajipangi wakaishi??

Babu DC!!
 
Dark City,rudi hapa bana.Unadhani changamoto kama hizo zinaweza tatuliwaje kwenye dunia hii ya .Com?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom