BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,015
Hata mie maisha kama haya kwa kweli ningeyaona karaha tena ya hali ya juu. Marafiki zangu waliponieleza haya nilibaki nawasikitikia kusema kweli.
Kuna rafiki yangu mmoja hapo dar yeye huamka saa kumi iliafike kazini saa moja na nusu na jioni hutoka saa moja na kufika saa nne au saa tano..huwa namshangaa sana maisha gani sasa hayo hapo mke watoto watapata mapenzi ya baba kweli mama atapata haki yake kweli