Nataka nimuingize mjini

NIA YAKO YA "BEFORE" NA "AFTER" ni nini? Wewe inaelekea ulikuja na garimoshi la reli ya kati, sasa umejanjaruka.

Acha roho mbaya wewe!
 
Usinipandishe hadhi kihivyo mie nimekuja na mbio za mwenge,sawa bibie roho mbaya nitaiacha
 
Habari zenu waheshimiwa,JPili inasemaje?kwangu ni mbona tu na nina mpango wa kwenda kupunga upepo pale beach.
Ni hivi nina ndugu yangu kaingia kutoka Mafia yaani bado mshamba kwelikweli sasa nilikuwa nina mpango wa kuanza kumchangamsha.
Kuna jamaa alinipa ushauri nimpige picha akiwa na pensi kashika chupa ya koka kola kubwa huku kaweka pozi ya dole tupu,nimpige picha mbili moja yangu moja yake kama kumbukumbu,kwahiyo akianza kujanjaruka niwe wala siuumii kichwa kwani naweza nikamuumbua kwa kutumia picha hiyo.
Binafsi nilikuwa nina mpango wa kumkabisha kwa mateja wamkatekate visu ila wasimuue halafu nimpeleke hospital akatibiwe akitoka ataanza kulijua jiji kidogokidogo.
Narudi kwenu marafiki zangu ambao ndio nyie,je plan hizo ni nzuri kuzitekeleza? au kuna njia nyingine mbadala za kumuingiza mtu mjini?

Washawasha na ww unavituko mara juzi utake kumuwasha mke wa rafikiyo leo tena na hili.. huko Mafia katoka wapi Bweni, tumbuju, Kilindoni, Ama Utende?? Taratibu ya hiyo ya mateja haijakaa vizuri kabisa. Mimi nadhani ukimfundisha mema na jinsi ya kuishi mjini atakukumbuka zaidi kuliko kumnanga.
 
noma,we wa kwetu nini?huyu katokea mashepeni kule mkumbi yaani ana kea mpaka kwenye ulimi,bac hamna noma nitamfundisha kuchakachua cmu.
 
Haya bwana washawasha...nimewahi kuishi na wamalindi wa huko kidogo kaka. Japo inawezekana nayajua maeneo mengi kuliko wenyeji japo kuwa sijui kuchokoa pweza.. hahahahahahahahahaahaaaaa
 
ningekupa huyu ninayetaka kumuingiza mjni akufundishe,lol
Sawa kiongozi ila karibu sana Mafia mkuu
 
Mara ya mwisho nilikuwa huko Jan, 2001. Huwa nawaza ni sehemu nzuri sana ya vacation. Iko siku nitafika mkuu, japo sijui kama Mafia Lodge, Kinasi na zingine kama bado zipo.
 
Unkown paradise,usafiri kwa sie wagema ulimbo bado ni kikwazo
 
Buji bado hajaweka lami ule uwanja wa ndege?? Dah mzee.. ni uzoefu mzuri kusafiri na jahazi toka Kisiju siwezi sahau kaka. Hamfiki bandarini mpaka msubirie maji yajae. Kazi kwelikweli. Hivi boti ya kimbau bado ipo??
 
Mkuu mie nimetoka zamani kdogo ila kwenye suala la boti tulizokuwa nazo imebakia 1 tu,boti/mashua ni aina ya usafiri ambao siukubali kabisa c unajua kufa na maji ni kutaka
 
Habari zenu waheshimiwa,JPili inasemaje?kwangu ni mbona tu na nina mpango wa kwenda kupunga upepo pale beach.
Ni hivi nina ndugu yangu kaingia kutoka Mafia yaani bado mshamba kwelikweli sasa nilikuwa nina mpango wa kuanza kumchangamsha.
Kuna jamaa alinipa ushauri nimpige picha akiwa na pensi kashika chupa ya koka kola kubwa huku kaweka pozi ya dole tupu,nimpige picha mbili moja yangu moja yake kama kumbukumbu,kwahiyo akianza kujanjaruka niwe wala siuumii kichwa kwani naweza nikamuumbua kwa kutumia picha hiyo.
Binafsi nilikuwa nina mpango wa kumkabisha kwa mateja wamkatekate visu ila wasimuue halafu nimpeleke hospital akatibiwe akitoka ataanza kulijua jiji kidogokidogo.
Narudi kwenu marafiki zangu ambao ndio nyie,je plan hizo ni nzuri kuzitekeleza? au kuna njia nyingine mbadala za kumuingiza mtu mjini?

mpaka hapo nakuona we mwenyewe bado bonge la mshamba na unahitaji kuingizwa mjini kuliko hata huyo m-mafia mwenzio.:blah:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom