Nataka kuweka kile kipini cha chuma juu ya jicho, huwa kinawekwaje na ni bei gani?

Unakwenda wapi na wewe ndio ulimshawishi?

Haha, jamani atoto kama anaipenda hiyo kazi je!
Si afadhali kufanya ile kitu roho inapenda, cha muhimu ni kumthibiti tu na mikwara mingii.
 
Back
Top Bottom