Nataka kuweka kile kipini cha chuma juu ya jicho, huwa kinawekwaje na ni bei gani?

Joel Johansen

JF-Expert Member
May 12, 2016
242
319
Wakuu,

Nadhani mnajua kina Lil Wayne na watoto wengi wa kishua utakuta ana kichuma flani hivi either juu ya jicho pembeni ya nyusi au kidevuni. Ni wapi wanafanyaga hizo shughuli kwa hapo Arusha, na bei yake ni kama sh ngapi? Pia ningependa kujua huwa kinawekwaje na pia kama kuna side-effects zozote.

Asanteni.
 
Nenda kwa watu wanaochora tattoo mala nyingi huwa wanafanyaga . Sonara sina uhakika sana
 
Wakuu,

Nadhani mnajua kina Lil Wayne na watoto wengi wa kishua utakuta ana kichuma flani hivi either juu ya jicho pembeni ya nyusi au kidevuni. Ni wapi wanafanyaga hizo shughuli kwa hapo Arusha, na bei yake ni kama sh ngapi? Pia ningependa kujua huwa kinawekwaje na pia kama kuna side-effects zozote.

Asanteni.
Nakujibu bila kuangalia ID yako kwakuwa nikifanya hivyo naweza kushindwa
Vile vipini havina tofauti na kutoga pua masikio vitovu midomo nk
Mara nyingi hufanywa na watu wenye utaalam wa surgical
Hivyo vipini/vishaufu vipo vya madini na grades tofauti Inategemea una bei gani kwakuwa vipo mpaka vya buku
Side effects zake ni mzio au kupata kidonda kinachoweza kuleta kovu usipokuwa makini
Vilevile baadhi ya ngozi hureact na aina fulani ya madini hivyo unaweza kupata tatizo la kiafya
Hapo Arusha Cheki kwa masonara au wasiliana na hawa wadau Preta valentine
 
Wakuu,

Nadhani mnajua kina Lil Wayne na watoto wengi wa kishua utakuta ana kichuma flani hivi either juu ya jicho pembeni ya nyusi au kidevuni. Ni wapi wanafanyaga hizo shughuli kwa hapo Arusha, na bei yake ni kama sh ngapi? Pia ningependa kujua huwa kinawekwaje na pia kama kuna side-effects zozote.

Asanteni.
Unaenda kweny maduka ya masonala watakutengenezea unachohitaj
 
Fika maeneno ya Stephen tattoo, au websites BMEzine.com
Ni mzungu anachora tattoo na kuweka vipini. ( piercing )
Anaitwa SHANNON LARRAT.
mtafute mkuu.
 
Kwani ukifanya hivyo utakua umepata nini huliziki na mungu alivyo kuumba kua mwenye shukran acha kuiga iga kila kitu
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Wakuu,

Nadhani mnajua kina Lil Wayne na watoto wengi wa kishua utakuta ana kichuma flani hivi either juu ya jicho pembeni ya nyusi au kidevuni. Ni wapi wanafanyaga hizo shughuli kwa hapo Arusha, na bei yake ni kama sh ngapi? Pia ningependa kujua huwa kinawekwaje na pia kama kuna side-effects zozote.

Asanteni.
Najua baadaya hapa utakuja kutuuliza hivi kile kipini cha pua wanawekaje na kina madhara yoyote!!!???

Wakuu,

Nadhani mnajua kina Lil Wayne na watoto wengi wa kishua utakuta ana kichuma flani hivi either juu ya jicho pembeni ya nyusi au kidevuni. Ni wapi wanafanyaga hizo shughuli kwa hapo Arusha, na bei yake ni kama sh ngapi? Pia ningependa kujua huwa kinawekwaje na pia kama kuna side-effects zozote.

Asanteni.
Mkuu wewe ni "ME" kweliii
 
Jukwaa la urembo, mtu kaja kupost kitu cha urembo, mnamshambulia,

Sasa nyie marijali kwenye jukwaa la urembo mlikuja kufata nini???

Some people bwanaaaaa.
Hata mimi nilitaka kukurupuka na maswali magumu. sikujua niko jukwaa la urembo ahsante kwa kunikumbusha nilipotea njia na left.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom