nataka kuwa teacher

crusmygo1

Member
Jul 16, 2011
9
2
me nina bachelor tofauti na ualimu lkn maisha yanaonekana kubana mtaani zaidi ya mwaka bila kazi. nataka kuomba nafasi ya kufundisha kwa wizara ya elimu. utaratibu ukoje? msaada kwa anaejua
 
Dah nazani inaweza ikawa ngumu kidogo but tungependa uweke wazi una bachelor ipi ili tujue tutakushauri vp?
 
kijana pole ila kupata hapo kazi ipo just pray then omba wenye utaratibu wakupatie jamani
 
soma post graduate ya education, then unaomba ajira wizara inayohusika, elimu au utumishi.
 
Hufai kua mwalimu..suala dogo kama hlo washndwa litatua.. Wizarani hupajui wewe!?
Endele ganga na jua..usije tuharibia vijana wetu!
 
Back
Top Bottom