Abby Uladu
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 2,027
- 4,238
Habari ndugu zangu, natumani mpo salama.
Ndugu zangu wana JF, naombeni mnisaidie njia rahisi ya kupata pesa kutoka Ghana nifate process zipi
NB: Pesa zipo tayari ni njia tu za kuhamisha ndio sijui nafanyaje kuzipata nitumie.
Ahsanteni