Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 70,985
- 93,999
Kuwa KAFIRI bora nisiwe na dini kabisaaaa kama Kingunge.
I thought kafir ni mwanadamu asiye na imani...!!
Kuwa KAFIRI bora nisiwe na dini kabisaaaa kama Kingunge.
Kwa mtazamo wangu, watu ambao wafaa kuoana imani tofauti ni wasomi, sababu usomi kwa kiasi fulani unakupunguza ile hali ya imani ambayo huwaga so very high katika kuathiri matendo yako tokana na exposure hasa kielimu na kimantik ya maisha ya kisasa as opposed na dini kuwa absolute measure ya maamuzi...
Otherwise wahusika wawe exceptionally waelewa; kitu ambacho ni msingi saana katika maisha yenu ya ndoa hasa makuzi ya watoto. Hakuna kibaya kama vile kuwaconfuse watoto kwa kila mzazi kung'ang'ania mtoto afuate imani yake.. inakuwa inamuathiri psychologically....
Dini gani mnazo ongea nyie hakuna dini zaidi ya uislamu....Kama wewe muislamu kamuowe na kama wewe ni mkristo na bint ni muislamu wala usisogee kumpoteza mwenzako afate dini za kujitungia.
Dini tofauti kazi sana, hata reasoning ya kawaida kkabisa huutofautiana.
Stick to the devil you know.
Kuwa KAFIRI bora nisiwe na dini kabisaaaa kama Kingunge.
MREJESHO:-
Ahsanteni sana kwa ushauri wenu. Wengi wameshauri nimwache na kiukweli nimeshamwacha maana tulifikia mahala yeye akawa ana wasiwasi wa mimi kumwacha hali akiwa kabadili imani nami nikawa na wasiwasi kwamba akinidanganya kabadili then tunaoana halafu anaikana hiyo imani yangu itakuwaje na watoto watalelewaje? SO NIKA-CONCLUDE KWAMBA ITS BETTER KILA MMOJA ATAFUTE MCHUMBA WA IMANI YAKE.
Nyie mnasema Yesu ni mtoto wa mungu wakati hamuwezi kutueleza wapi Mungu kasema ana mtoto>Point ya pili vitabu vyenu vya dini vinakan'yagana mara mnasema Yesu ni mungu mara vinakataa chukua mfano the old testament has very explicitly and emphatically enjoined belief in one God....Sasa kama mnaamini Mungu ni mmoja vipi na Yesu awe mungu?
Hajakosea Yesu alipowajibu ->>I am not sent but unto the lost sheep of the house of Israel (Matthew 15:24)
Mtabakia kuwa makondoo tu hamuwezi kutueleza wapi Yesu kasema fateni ukristo au Yeye dini yake ni kristo.
Tufike mahali tuheshimu watu, dini zao bila kutoa matusi kama haya! Dini haimfundishi mtu kukashfu wenzake. Muombe Excel radhi mkuu...
Kafiri ni kama vile Excel
Dini tofauti kazi sana, hata reasoning ya kawaida kkabisa huutofautiana.
Dini gani mnazo ongea nyie hakuna dini zaidi ya uislamu....Kama wewe muislamu kamuowe na kama wewe ni mkristo na bint ni muislamu wala usisogee kumpoteza mwenzako afate dini za kujitungia.