Nataka kuoa lakini imani inaleta shida.

Mmh, ni experience tu

Yaani kuna mambo mtu anasema, kwake yana maana kabisa, mie deep from my heart namuona kama kawa kichaa hivi. Halafu sasa hayo ni maamuzi labda yanafanyika kwa ajili ya familia, na mnatakiwa mfuate.

Na kwa jinsi navyojijua, siwezi kufuata ushauri naouona ni sawa na'upuuzi', matokeo yake mnaishia kugombana bila sababu.

Ukikaa baadae ukatafakari, unagundua kabisa kuwa tafsiri zetu za mambo zinaathiriwa na imani zetu pia. Mfano, kuna watu bundi akitua juu ya paa la nyumba na kulia, kesho anaita mganga kuondoa mikosi, unabaki, really?


Mie nilishakonkludi kabisa, I stick to the devil I know basi.

Hiyo ni kweli kabisa

Nadhani hadi unasema hili ulizama kwenye tafakuri kubwa sana maana hili huwezi kuliona hivihivi tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom