Nataka kuoa lakini imani inaleta shida.

BUCHANAGANDE

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
1,513
474
Wana JF wenzangu, naomba mnisaidie kuhusu hili linalonikabili
Nina rafiki yangu MWENYE UMRI WA MIAKA 25 (AMEMALIZA CHUO KIKUU, 2011) Yeye ni wa Imani tofauti na yangu lakini nimempenda na nimedhamilia kuishi naye kama my wife lakini tatizo kubwa kwake ni kwamba HATAKI kubadili IMANI yake mpaka hapo nitakapokwenda kutoa MAHALI kwani anasema kwa mila za kwao (KINGONI) HAKUNA KISHIKA UCHUMBA WALA UCHUMBA bali kuna URAFIKI then Ukienda kujitambulisha nyumbani kwao ndo unatoa na MAHALI JUMLA JUMLA.
Naombeni msaada wenu kwa sababu nimekuwa nikimsisitiza sana lakini yeye anakataa kwa kusema kuwa:-
1. Nikibadilisha Imani na wewe ukanikataa ITAKUWAJE?
2. Naishi na mamdogo wangu, Hivyo nikibadili IMANI hatanielewa kwani ni MKALI SANA-Ila kama ningekuwa naishi na Mama mzazi ambaye alikuwa mwelewa-NINGEBADILI NA ANGENIELEWA NA NISINGEPATA SHIDA YOYOTE.
Yeye anaonekana Kumtii mama yake Mdogo sana kuliko yeyote yule. Je Nifanyeje? NAOMBA MSAADA WENU.
 
Kashakuambia ukilipa mahari na vikao vinaendelea vya harusi, atabadili imani. What else do you want sasa? Yaani you are just a boyfriend abadili dini kwa ajili yako? Ebooo, utajajaaliwa watoto wa kike wewe Mungu akulipizie,ohooo!
 
.....tii "machale" yako, mapenzi sio kila kitu katika maisha. Tofauti yoyote kubwa uionayo/unayoigundua kipindi cha uchumba ujue "itakukwaza" tena huko mbele ya safari.

Love is not blindness, ....you choose not to see (the truth)
 
Kashakuambia ukilipa mahari na vikao vinaendelea vya harusi, atabadili imani. What else do you want sasa? Yaani you are just a boyfriend abadili dini kwa ajili yako? Ebooo, utajajaaliwa watoto wa kike wewe Mungu akulipizie,ohooo!

...:eek: kumbe watoto wa kike "mtihani" ehh? ...lol.
Mtoto ni mtoto bana, hata wa kiume aweza acha dini, mila na desturi za kwao na kufanya kinyume na matakwa yenu wazazi.
 
Kashakuambia ukilipa mahari na vikao vinaendelea vya harusi, atabadili imani. What else do you want sasa? Yaani you are just a boyfriend abadili dini kwa ajili yako? Ebooo, utajajaaliwa watoto wa kike wewe Mungu akulipizie,ohooo!

Rudia kusoa uzi,kuna mambo yanakinzana hapo!
 
Dini gani mnazo ongea nyie hakuna dini zaidi ya uislamu....Kama wewe muislamu kamuowe na kama wewe ni mkristo na bint ni muislamu wala usisogee kumpoteza mwenzako afate dini za kujitungia.
 
kasema yupo tayar kubadili ukishalipa mahar, do it, nna mfano ambao bado mbichi kabisa, ni kama wiki na nusus iliyopita wifi yangu ambae alikuwa ni mpenz wa bro wangu, wameshatambulishana hadi nyumbani, bt bro ni msabato na wifi ni mlutheran, jamaa(my bro ) alimwambia wifi abatizwe awe msabato ndio familia itakwenda kutoa mahar na process zngne za uchumba na ndoa zitafuata, msichana akamwambia family yake haitamwelewa iwapo atabatizwa kama ndg wa mume mtarajiwa hawajalipa nmahar bt the guy insisted so wifi yangu akaamua akabatizwe kisir bila home kwao kujua, kilichafatia ni nn jamaa kampiga chini yaan hapa bado mdada analia maumivu, hii haijamaliza hata mwez, kwa hyo namuelewa sana huyo dada.......kubadl dn si kaz rahc ni maamuz magumu wangu hata ingekuwa mm cwez kubadl dn coz of boyfriend kama yupo willing kufanya hvo baada ya mahar then do it,
 
  • Thanks
Reactions: LD
Dini gani mnazo ongea nyie hakuna dini zaidi ya uislamu....Kama wewe muislamu kamuowe na kama wewe ni mkristo na bint ni muislamu wala usisogee kumpoteza mwenzako afate dini za kujitungia.

can you prove your statement kuhusu dini za kujitungia?au unambwelabwela tu fazaa
 
Last edited by a moderator:
yani hata dini inakataza kwa nn umuoe mtu asiye amini unachokiamini cha kufanya tafuta msichana ambaye dini za imani yenu ni sawa usije umbuka mtu mzima haya maswala bwana si yakuchukulia simple kihivyo
 
  • Thanks
Reactions: LD
we bwana wee, nyie ndio mnaochochea udn katika nchi hii, heb tupishe babu, halaf unaona raha gan kuikashifu dn ya wenzio kumbuka kuna mataifa watu wanauana kla siku sabab ya udin ambao ww unauleta hapa, iman ni kitu sensitive mno usicheze na iman za watu, kha unataka kuniharibia ijumaa yangu, hb nkupotezeee mie
Dini gani mnazo ongea nyie hakuna dini zaidi ya uislamu....Kama wewe muislamu kamuowe na kama wewe ni mkristo na bint ni muislamu wala usisogee kumpoteza mwenzako afate dini za kujitungia.
 
  • Thanks
Reactions: LD
can you prove your statement kuhusu dini za kujitungia?au unambwelabwela tu fazaa
Nyie mnasema Yesu ni mtoto wa mungu wakati hamuwezi kutueleza wapi Mungu kasema ana mtoto>Point ya pili vitabu vyenu vya dini vinakan'yagana mara mnasema Yesu ni mungu mara vinakataa chukua mfano the old testament has very explicitly and emphatically enjoined belief in one God....Sasa kama mnaamini Mungu ni mmoja vipi na Yesu awe mungu?

Hajakosea Yesu alipowajibu ->>I am not sent but unto the lost sheep of the house of Israel (Matthew 15:24)

Mtabakia kuwa makondoo tu hamuwezi kutueleza wapi Yesu kasema fateni ukristo au Yeye dini yake ni kristo.
 
Imani na unachoamini ni vitu muhimu sana vya kuzingatia kabla ya kuamua kuoa au kuolewa. Mi sitaki kabisa huyu haamini huyu anaamini. Huyu anaamini hivi na huyu anaamini hivi. Hapana mi bwana naangaliaga sana tu.....Imani ni kitu cha msingi sana.
 
we bwana wee, nyie ndio mnaochochea udn katika nchi hii, heb tupishe babu, halaf unaona raha gan kuikashifu dn ya wenzio kumbuka kuna mataifa watu wanauana kla siku sabab ya udin ambao ww unauleta hapa, iman ni kitu sensitive mno usicheze na iman za watu, kha unataka kuniharibia ijumaa yangu, hb nkupotezeee mie
Hahaha mtabakia kutembea na misalaba tu msisahau Yesu hajapigiliwa kwenye msalaba...Dini ni moja tu na Mungu ni mmoja.
 
Oh ckujua umgonjwa kias hiki, iz there a doc in the house plzzzzz.....................get well soon fazaa
Hahaha mtabakia kutembea na misalaba tu msisahau Yesu hajapigiliwa kwenye msalaba...Dini ni moja tu na Mungu ni mmoja.
 
Kuwa mvumilivu kaka, subiri hadi hapo mambo yatakapo kaa vizuri na wewe kwenda kutoa mahari basi atakuja kwenye imani yako.
Mvumilivu hula mbivu.
 
kuna wenzio huwa wanautukana ukristo maeneo ya ya uwanja wa manzeze karib na soko la manzese darajan pale, nna uhakika pale panakufaa zaid na utabwatuka yote unayoyataka na unavyojiskia, tuache watu tuchambue yenye msingi humu, naamn hakuna dn inayompeleka mtu mbingun, By the way Mungu ni mmoja na katuumba wote kwa hyo kwangu kabla ya uislam au ukristo ubinadam unaanza kwanza....
Nyie mnasema Yesu ni mtoto wa mungu wakati hamuwezi kutueleza wapi Mungu kasema ana mtoto>Point ya pili vitabu vyenu vya dini vinakan'yagana mara mnasema Yesu ni mungu mara vinakataa chukua mfano the old testament has very explicitly and emphatically enjoined belief in one God....Sasa kama mnaamini Mungu ni mmoja vipi na Yesu awe mungu?

Hajakosea Yesu alipowajibu ->>I am not sent but unto the lost sheep of the house of Israel (Matthew 15:24)

Mtabakia kuwa makondoo tu hamuwezi kutueleza wapi Yesu kasema fateni ukristo au Yeye dini yake ni kristo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom