Nataka Kuoa japo sijui Namuoa Nani? Mwanaume mwenzangu umeshawai kutokewa na hali hii?

MELEKAHE

JF-Expert Member
Nov 19, 2023
434
1,966
Habari wadau.

Kuna hali inanitokea inanishangaza sana, nimekua na hamu na ndoa ghafla since mwaka jana. cha kushangaza sasa sijui namuoa nani na nipo 35 yrs.

Wanaume tunatumia nguvu kubwa kujitafuta na kulea wadogo zetu na wazazi wetu mpaka tunasahau kuandaa spouse. Hapa wanaume tunakosea sana.

Najiona kabisa nitazeeka bila familia kwa uzembe wangu. wazee wa kupoint mnisaidie connection na wadada mnaowajua wenye vigezo.

Wasifu wangu

1. Mwanaume miaka 35, muajiriwa sekta binafsi
2. Kipato kidogo japo wengine wanaita cha kati
3. Makazi Dar es salaam
4. Elimu ya chuo kikuu
5. Dini Mkristo Anglican

Wasifu wa Mwanamke naependa awe nijenge nae familia

1. Elimu isipungue kidato cha nne, awe na uwezo wa kuchanganua mambo kutambua facts na bullshits, sense na non senses. Wazungu wanasema awe open minded
2. Awe mkazi wa Dar es salaam,
3. Awe mkristo. hata kama akiwa dini nyingine awe tayari kuishi kwenye ukristo
4. Awe mrefu mrefu maana nami ni mrefu mrefu
5. Awe hajawai kuolewa ama kuzaa
6. Umri asiwe mdogo sana na wala asiwe mkubwa sana wa kunizidi umri

WENYE VIGEZO AMA KAMA UNAMJUA MWENYE VIGEZO KARIBU UNISAPOTI MWAKA HUU TENA USIISHE BILA BILA
 
habari wadau.

kuna hali inanitokea inanishangaza sana, nimekua na hamu na ndoa ghafla since mwaka jana. cha kushangaza sasa sijui namuoa nani na nipo 35 yrs.

Wanaume tunatumia nguvu kubwa kujitafuta na kulea wadogo zetu na wazazi wetu mpaka tunasahau kuandaa spouse. hapa wanaume tunakosea sana.

najiona kabisa nitazeeka bila familia kwa uzembe wangu. wazee wa kupoint mnisaidie connection na wadada mnaowajua wenye vihezo.

wasifu wangu

1. Mwanaume miaka 35, muajiriwa sekta binafsi

2. kipato kidogo japo wengine wanaita cha kati around ka milioni na vipoint kazaa

3. makazi Dar es salaam

4. Elimu ya chuo kikuu

5. dini Mkristo Anglican

wasifu wa Mwanamke naependa awe nijenge nae familia

1. Elimu isipungue kidato cha nne, awe na uwezo wa kuchanganua mambo kutambua facts na bullshits, sense na non senses. wazungu wanasema awe open minded

2. awe mkazi wa Dar es salaam,

3. awe mkristo. hata kama akiwa dini nyingine awe tayari kuishi kwenye ukristo

6. umri asiwe mdogo sana na wala asiwe mkubwa sana wa kunizidi umri

Acha udomo zege pambana..
 
Omba Mungu wako akumpe mtu sahihi, acha kubahatisha.
 
Habari wadau.

Kuna hali inanitokea inanishangaza sana, nimekua na hamu na ndoa ghafla since mwaka jana. cha kushangaza sasa sijui namuoa nani na nipo 35 yrs.

Wanaume tunatumia nguvu kubwa kujitafuta na kulea wadogo zetu na wazazi wetu mpaka tunasahau kuandaa spouse. Hapa wanaume tunakosea sana.

Najiona kabisa nitazeeka bila familia kwa uzembe wangu. wazee wa kupoint mnisaidie connection na wadada mnaowajua wenye vigezo.

Wasifu wangu

1. Mwanaume miaka 35, muajiriwa sekta binafsi
2. Kipato kidogo japo wengine wanaita cha kati around ka milioni na vipoint kazaa
3. Makazi Dar es salaam
4. Elimu ya chuo kikuu
5. Dini Mkristo Anglican

Wasifu wa Mwanamke naependa awe nijenge nae familia

1. Elimu isipungue kidato cha nne, awe na uwezo wa kuchanganua mambo kutambua facts na bullshits, sense na non senses. Wazungu wanasema awe open minded
2. Awe mkazi wa Dar es salaam,
3. Awe mkristo. hata kama akiwa dini nyingine awe tayari kuishi kwenye ukristo
4. Awe mrefu mrefu maana nami ni mrefu mrefu
5. Awe hajawai kuolewa ama kuzaa
6. Umri asiwe mdogo sana na wala asiwe mkubwa sana wa kunizidi umri

WENYE VIGEZO AMA KAMA UNAMJUA MWENYE VIGEZO KARIBU UNISAPOTI MWAKA HUU TENA USIISHE BILA BILA

mkuu najua una haraka. ushauri wangu punguza haraka usije ukauziwa mbuzi kwenye gunia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom