Nataka kuoa ila napitia wakati mgumu sana kupata mwanamke wa kuoa

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Habari za wakati huu ndugu zangu..

Mimi ni kijana wa miaka 30+ hapo awali nilikua na mahusiano na binti nilie mpenda na nilitarajia kuja kumuoa ila alikuja kuniacha katika harakati za utafutaji na kuolewa na mwanaume mwingine, japo nimesha msahau sasa natafuta mwanamke wa kuoa

Kiukweli nimechoka kuishi mwenyewe nimekua mpweke sana kukaa mwenyewe , naamka naenda kazini na kurudi nipo mpweke mpweke kwa kweli, najaribu kujichanganya na watu ila naona bado nimepungukiwa sana nafsini mwangu kwakuto kua na mke..

Nimeona bila kuishi na mwanamke ( mke ) kwangu itakua ni adhabu nimejaribu sana kutafuta mwanamke wa kuoa ila kila ninae mpata nafsi yangu inakataa katu katu.. but mwanamke ambae nafsi yangu inaridhia unakuta kwa upande mwingine ukichunguza ni mke wa mtu, ameshazaa au ni mwanafunzi. .. hapo ndio nachoka ndugu zangu nakujikuta nakata tamaa ila najipa moyo one day nitampata tuu mwanamke wa kuoa

Nimeamua kuacha kutumia vyombo vya usafiri na kutembea kwa miguu umbali mrefu huku nikiweka vituo hapa na pale ninapokua naenda kazini na kutoka kazini ili nimpate mwanamke wa kuoa cha kushangaza yani sioni hata mwanamke ambae nafsi yangu inamridhia .. japo natongoza sana wanawake wengi ila nikikubaliwa nakua nae muda kidogo kama week nafsi inakataa kabisa pale napo fikiria kumuoa mwanamke nilie mtongoza...

Nateseka sana na upweke.. japo natafuta sana hela ila kunawakati naona hela hazinisaiidii chochote naona kabisa bila mke nimepungukiwa sana. Naombeni msaada na ushauri ndugu zangu nifanyaje katika hii safari yangu mpaka nipate mke ambae moyo ukiridhia unakuta sio mwanafunzi wala mke wa mtu, wala alie kwisha kuzalishwa na ambae moyo utamridhia kumuoa na kua nae.

naombeni sana ushauri napenda kuoa niwe na mke ndugu zangu, mimi maisha yakutokuishi na mke na yachukia sana wakuu acha tuu niweke wazi

Natanguliza shukrani za dhati
 
Kipato chako cha mwezi ni shilling ngapi? Na kwenye Bank saving una shilling ngapi ? Ili niweze kukushauri vizuri
 
Toka out jichanganye huko kwneye mabaa, au makanisani utapata tu mwenye haja kama yako ila usichague sana
 
Swala hili haliangaliii pesa bank, linaangalia zaidi nafsi ya mtu. Wengine utulivu tunaamini unapatikana vyema pale hitaji la moyo unapolipata. Ukilipata hata juhudi au nguvu za kutafuta pesa au akili ya kutafuta pesa inachangamka.

Tuache masihala, kuoa wengine tumeumbiwa kuoa na sio kuishi bila make

Brother pole sana. Mimi niliacha gari nikawa napanda daladala na kwa kwenda nyumbani napanda basi. Mchakato wa kumpata mke ni mgumu sana.

Muombe Sana Mungu asimame na akuongoze.
 
Nafanya hivyo ndugu yangu..ila kila naekutana nae ndio kama nilivyosema unakuta ni mke wa mtu, ameshazaa au ni mwanafunzi... Nikikutana na ambae yupo fresh moyo unakuta kila nikifikiria kumuoa unakataa kabisa yani nafsi inagoma ndugu zangu
 
Swala hili haliangaliii pesa bank, linaangalia zaidi nafsi ya mtu. Wengine utulivu tunaamini unapatikana vyema pale hitaji la moyo unapolipata. Ukilipata hata juhudi au nguvu za kutafuta pesa au akili ya kutafuta pesa inachangamka.

Tuache masihala, kuoa wengine tumeumbiwa kuoa na sio kuishi bila make

Brother pole sana. Mimi niliacha gari nikawa napanda daladala na kwa kwenda nyumbani napanda basi. Mchakato wa kumpata mke ni mgumu sana.

Muombe Sana Mungu asimame na akuongoze.
Sawa ndugu yangu...
 
Hii ni huyo mpenzi nilie kua nae ... Nilimpenda hadi nika mwita mke..
 
Ndo nini lakini kufukua makaburi ya watu😀
 
Back
Top Bottom