jjs2017
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 2,023
- 4,221
Habari za wakati huu ndugu zangu..
Mimi ni kijana wa miaka 30+ hapo awali nilikua na mahusiano na binti nilie mpenda na nilitarajia kuja kumuoa ila alikuja kuniacha katika harakati za utafutaji na kuolewa na mwanaume mwingine, japo nimesha msahau sasa natafuta mwanamke wa kuoa
Kiukweli nimechoka kuishi mwenyewe nimekua mpweke sana kukaa mwenyewe , naamka naenda kazini na kurudi nipo mpweke mpweke kwa kweli, najaribu kujichanganya na watu ila naona bado nimepungukiwa sana nafsini mwangu kwakuto kua na mke..
Nimeona bila kuishi na mwanamke ( mke ) kwangu itakua ni adhabu nimejaribu sana kutafuta mwanamke wa kuoa ila kila ninae mpata nafsi yangu inakataa katu katu.. but mwanamke ambae nafsi yangu inaridhia unakuta kwa upande mwingine ukichunguza ni mke wa mtu, ameshazaa au ni mwanafunzi. .. hapo ndio nachoka ndugu zangu nakujikuta nakata tamaa ila najipa moyo one day nitampata tuu mwanamke wa kuoa
Nimeamua kuacha kutumia vyombo vya usafiri na kutembea kwa miguu umbali mrefu huku nikiweka vituo hapa na pale ninapokua naenda kazini na kutoka kazini ili nimpate mwanamke wa kuoa cha kushangaza yani sioni hata mwanamke ambae nafsi yangu inamridhia .. japo natongoza sana wanawake wengi ila nikikubaliwa nakua nae muda kidogo kama week nafsi inakataa kabisa pale napo fikiria kumuoa mwanamke nilie mtongoza...
Nateseka sana na upweke.. japo natafuta sana hela ila kunawakati naona hela hazinisaiidii chochote naona kabisa bila mke nimepungukiwa sana. Naombeni msaada na ushauri ndugu zangu nifanyaje katika hii safari yangu mpaka nipate mke ambae moyo ukiridhia unakuta sio mwanafunzi wala mke wa mtu, wala alie kwisha kuzalishwa na ambae moyo utamridhia kumuoa na kua nae.
naombeni sana ushauri napenda kuoa niwe na mke ndugu zangu, mimi maisha yakutokuishi na mke na yachukia sana wakuu acha tuu niweke wazi
Natanguliza shukrani za dhati