Najuta kuoa mwanamke kutoka kanda ya ziwa, aisee najuta indeed!

Nesi mkunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2022
701
1,842
Kwanza vijana ambao hamjaoa please ukitaka kuoa jaribu kuoa karibu na zone.yenu au nyumbani kwenu kabisa kuliko.kuoa.far away na.pia ukitaka kuoa mwanamke sahihi ni mwenye hofu ya mungu kabisa aisee

Yamenikuta nilioa mwanamke kutoka kanda ya.ziwa.huko.wale.waupeee na wanao nyoa fanki wale aisee hawa wanawake.sio poa kabisa ila nanideclare interest sio wote ila.most of them ni hizo yaani ukimuoa kama wewe si mtu na kabila lao utakiona chamtema kuni dadeki sio poa kabisa

Kwanza ameenda kwao kwa sababu ni mgonjwa ila.sasa wakati wakurudi.amenipa masharti eti natakiwa kurudi na mganga wa kienyeji kisa eti kwasababu yeye ni mgonjwa hatakiwa kubeba dawa mganga pekee ndiye pekee anatakiwa kubeba dawa eeeeh whaaat? It is madness.😧😧

Sijaona watu hawa wana hasira balaa yaani yeye kurusha ngumi kwenye kawaida sasa najiuliza angeolewa na mkabila mwenzie angefanya huu ujinga? Kwasababu mimi ni kabila tofauti na yeye? Halafu ukiangalia mahari ni kubwa sasa kuna tofauti gani na kuoa hawa wanawake wa mahari rahisi? Binti lina hasira balaa

Mtu anakuuliza mshahara wako ni shilingi ngapi? Na unatoka tarehe ngapi?😧😧 and then anauliza nipe namba ya muuza duka wako for what? Hawa watu kwa ushirikina usiseme ni hatari sana aisee yaani kabisa anataka kuja na mganga wa kienyeji kisa eti hatakiwi kubeba dawa mganga pekee ndiye pekee mbebaji huu si ushirikina huu?

Isitoshe huu binti ni mdogo sana sasa amejuaje yote haya? Sio kama yuko coaching na ndugu zake?wanataka kuniua? Au wanataka kunikama nisiwe na kauli kwa huyu binti yao?

Najuta na i'm going to divorce her
 
Mada kama hizi ni nyingi sana siku hizi, Watu wa Kataa Ndoa pole pole Hoja zao zitazidi kupata Uungwaji mkono mkubwa
 
Pole mkuu!! Ni msukuma ? Au Mtusi ? Au Mnyatunzu ? Mim wa Kanda ya Ziwa ila nimeoa MBENA, wabena wako poa sana na ni wachapakazi sana.

Piga chini nenda ubenani
 
Kwanza vijana ambao hamjaoa please ukitaka kuoa jaribu kuoa karibu na zone.yenu au nyumbani kwenu kabisa kuliko.kuoa.far away na.pia ukitaka kuoa mwanamke sahihi ni mwenye hofu ya mungu kabisa aisee

Yamenikuta nilioa mwanamke kutoka kanda ya.ziwa.huko.wale.waupeee na wanao nyoa fanki wale aisee hawa wanawake.sio poa kabisa ila nanideclare interest sio wote ila.most of them ni hizo yaani ukimuoa kama wewe si mtu na kabila lao utakiona chamtema kuni dadeki sio poa kabisa

Kwanza ameenda kwao kwa sababu ni mgonjwa ila.sasa wakati wakurudi.amenipa masharti eti natakiwa kurudi na mganga wa kienyeji kisa eti kwasababu yeye ni mgonjwa hatakiwa kubeba dawa mganga pekee ndiye pekee anatakiwa kubeba dawa eeeeh whaaat? It is madness.😧😧

Sijaona watu hawa wana hasira balaa yaani yeye kurusha ngumi kwenye kawaida sasa najiuliza angeolewa na mkabila mwenzie angefanya huu ujinga? Kwasababu mimi ni kabila tofauti na yeye? Halafu ukiangalia mahari ni kubwa sasa kuna tofauti gani na kuoa hawa wanawake wa mahari rahisi? Binti lina hasira balaa

Mtu anakuuliza mshahara wako ni shilingi ngapi? Na unatoka tarehe ngapi?😧😧 and then anauliza nipe namba ya muuza duka wako for what? Hawa watu kwa ushirikina usiseme ni hatari sana aisee yaani kabisa anataka kuja na mganga wa kienyeji kisa eti hatakiwi kubeba dawa mganga pekee ndiye pekee mbebaji huu si ushirikina huu?

Isitoshe huu binti ni mdogo sana sasa amejuaje yote haya? Sio kama yuko coaching na ndugu zake?wanataka kuniua? Au wanataka kunikama nisiwe na kauli kwa huyu binti yao?

Najuta na i'm going to divorce her
Huyo anakuja na mchepuko wake uchapiwe hapo hapo ukitoka kwenda kazini. Hawa jamaa ndivyo walivyo. Anauita huo mchepuko mganga.
 
Msiwege mnaoa
 
Mkuu sidhani huyo kama ni msukuma.

Haji na mganga Ili ambebee dawa ila mganga anakuja kuzindika hapo mnapoishi.

Kaambiwa kuna wanga wanawasumbua ndio sababu.

Inaonekana kuna watu wanawapiga faraka.

Dawa ya kukudhuru sio lazima mganga aibebe.
Ataibeba mke wako na atakuwekea bila KUJUA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom