Nataka kujua hili neno 'eti' huwa lina maana gani?

King Sae

JF-Expert Member
Mar 22, 2018
2,841
5,354
Amani iwe juu yenu..

Naomba kufahamu hili neno "eti" huwa linamaansha nn zaid ktk sentensi kama linavyotumka na baadhi ya wanawake, hususani mkiwa mnachati...

Mfano:-
- Nimekumic eti
-Sijala eti
-Nimechoka eti
-Siji eti
Eti, eti, eti ndio nini huwa nahisi kama dharau hivi..

Nawasilisha tu..
 
Mimi sijawahi kutumiwa hilo neno, nahisi mwenye jibu sahihi ni yule anayelitumia hilo neno kama vipi mwambie huyo dem wako atusaidie maana yake.

Kwa mimi navyoelewa.
Basic meaning 'eti' sijui maana yake, sina kamusi hapa ila najua conceptual mianing hilo neno linatumika kutoa taarifa ambayo mtoataarifa hakubaliani nayo.

Mfano. Ameninunulia Techno eti
(Hapa dem anawambia marafiki zake kuwa boy wake ni fala atamnunuliaje Techno wakati yeye anataka iPhone)
 
Eti si kiswshili fasaha ,neno sahihi ni "ati"na maana yake kusema ,anasema amesema yenye kuweka msisitizo wa kejeli.
Mfano "ati nini?"-unasema nini
Hapa si kwamba hukusikia ils unataka msemaji arudie alichokisema ksma vile humuelewi
 
Haaah kuna kademu flank hivi ka Arusha kalikuwa kanapenda kunambia neno "Waiiiii"....kila nnachosema nikawa sjui chochote kanachomanisha mpaka Leo kameolewa "eti..."
 
Hahaha sidhani kama ni "waiii" ila nahisi ni ile mtu akisema "woiiii"
Mambo ya r chuga hayo😂
 
Haaah kuna kademu flank hivi ka Arusha kalikuwa kanapenda kunambia neno "Waiiiii"....kila nnachosema nikawa sjui chochote kanachomanisha mpaka Leo kameolewa "eti..."
Hako kanafanana na kaisiki kangee nilikuwa nako kure kweitu karikuwa kananiambiaga; Oiyaa nayanga boja. Nikikaambia njoaa au tufanye hivi kananijibu hivyo tu. Ati leo nako kana katoto
 
Mimi sijawahi kutumiwa hilo neno, nahisi mwenye jibu sahihi ni yule anayelitumia hilo neno kama vipi mwambie huyo dem wako atusaidie maana yake.

Kwa mimi navyoelewa.
Basic meaning 'eti' sijui maana yake, sina kamusi hapa ila najua conceptual mianing hilo neno linatumika kutoa taarifa ambayo mtoataarifa hakubaliani nayo.

Mfano. Ameninunulia Techno eti
(Hapa dem anawambia marafiki zake kuwa boy wake ni fala atamnunuliaje Techno wakati yeye anataka iPhone)
Mimi sijawahi kutumiwa hilo neno, nahisi mwenye jibu sahihi ni yule anayelitumia hilo neno kama vipi mwambie huyo dem wako atusaidie maana yake.

Kwa mimi navyoelewa.
Basic meaning 'eti' sijui maana yake, sina kamusi hapa ila najua conceptual mianing hilo neno linatumika kutoa taarifa ambayo mtoataarifa hakubaliani nayo.

Mfano. Ameninunulia Techno eti
(Hapa dem anawambia marafiki zake kuwa boy wake ni fala atamnunuliaje Techno wakati yeye anataka iPhone)
Kumbe...umenifungua akili kidogo
 
Makini sana Mkuu nimekubali wewe mwalimu wa kiswahili umefafanua vizuri sana
Eti si kiswshili fasaha ,neno sahihi ni "ati"na maana yake kusema ,anasema amesema yenye kuweka msisitizo wa kejeli.
Mfano "ati nini?"-unasema nini
Hapa si kwamba hukusikia ils unataka msemaji arudie alichokisema ksma vile humuelewi
 
Eti wanasema eti..ati na eti ni maneno mawili yanayotumika tofauti eti..ni kweli eti!
Ati inatumiwa sana watu wa pwani ati..
 
Back
Top Bottom