Wana JF wenzangu nimekuwa mwanachama mtiifu wa CHADEMA tangu 1996 hadi hivi sasa nimevaa gwanda naombea kura chama changu. Licha ya juhudi zote hizi naona viongozi wetu wa CHADEMA hasa Dr slaa na Mbowe wamefanya hiki chama kama self-property just look wamempokea na kumwingiza kwenye kamati kuu Mabere Marando ambaye inajulikana wazi kuwa ni pandikizi la CCM tena aliivuruga NCCR-MAGEUZI, hawa jamaa hatujui hata ruzuku inatumikaje tukihoji tunazibwa mdomo, wameanza kutudhalilisha wanachadema wenzao kwa matendo yao maovu kama kupora wake za watu sasa wote tunaonekana mafuska................sasa nimekusudia kwa dhati kuhama chama hiki niwaache Mbowe na Dr Slaa waendeleze ukabila wao kwa maana hata wakishinda nahofia lugha ya taifa inaweza kuwa kichagga au kimbulu.
Remember Tanzania is first before CHADEMA, CUF&CCM
wewe ni mpuuzi kama wapuuzi wengine woote waliowahi kutokea duniani tena umezidi sana.Wana JF wenzangu nimekuwa mwanachama mtiifu wa CHADEMA tangu 1996 hadi hivi sasa nimevaa gwanda naombea kura chama changu. Licha ya juhudi zote hizi naona viongozi wetu wa CHADEMA hasa Dr slaa na Mbowe wamefanya hiki chama kama self-property just look wamempokea na kumwingiza kwenye kamati kuu Mabere Marando ambaye inajulikana wazi kuwa ni pandikizi la CCM tena aliivuruga NCCR-MAGEUZI, hawa jamaa hatujui hata ruzuku inatumikaje tukihoji tunazibwa mdomo, wameanza kutudhalilisha wanachadema wenzao kwa matendo yao maovu kama kupora wake za watu sasa wote tunaonekana mafuska................sasa nimekusudia kwa dhati kuhama chama hiki niwaache Mbowe na Dr Slaa waendeleze ukabila wao kwa maana hata wakishinda nahofia lugha ya taifa inaweza kuwa kichagga au kimbulu.
Remember Tanzania is first before CHADEMA, CUF&CCM
Wana JF wenzangu nimekuwa mwanachama mtiifu wa CHADEMA tangu 1996 hadi hivi sasa nimevaa gwanda naombea kura chama changu. Licha ya juhudi zote hizi naona viongozi wetu wa CHADEMA hasa Dr slaa na Mbowe wamefanya hiki chama kama self-property just look wamempokea na kumwingiza kwenye kamati kuu Mabere Marando ambaye inajulikana wazi kuwa ni pandikizi la CCM tena aliivuruga NCCR-MAGEUZI, hawa jamaa hatujui hata ruzuku inatumikaje tukihoji tunazibwa mdomo, wameanza kutudhalilisha wanachadema wenzao kwa matendo yao maovu kama kupora wake za watu sasa wote tunaonekana mafuska................sasa nimekusudia kwa dhati kuhama chama hiki niwaache Mbowe na Dr Slaa waendeleze ukabila wao kwa maana hata wakishinda nahofia lugha ya taifa inaweza kuwa kichagga au kimbulu.
Remember Tanzania is first before CHADEMA, CUF&CCM
Wana JF wenzangu nimekuwa mwanachama mtiifu wa CHADEMA tangu 1996 hadi hivi sasa nimevaa gwanda naombea kura chama changu. Licha ya juhudi zote hizi naona viongozi wetu wa CHADEMA hasa Dr slaa na Mbowe wamefanya hiki chama kama self-property just look wamempokea na kumwingiza kwenye kamati kuu Mabere Marando ambaye inajulikana wazi kuwa ni pandikizi la CCM tena aliivuruga NCCR-MAGEUZI, hawa jamaa hatujui hata ruzuku inatumikaje tukihoji tunazibwa mdomo, wameanza kutudhalilisha wanachadema wenzao kwa matendo yao maovu kama kupora wake za watu sasa wote tunaonekana mafuska................sasa nimekusudia kwa dhati kuhama chama hiki niwaache Mbowe na Dr Slaa waendeleze ukabila wao kwa maana hata wakishinda nahofia lugha ya taifa inaweza kuwa kichagga au kimbulu.
Remember Tanzania is first before CHADEMA, CUF&CCM
Si bure, unatafuta bwana wewe.....Wana JF wenzangu nimekuwa mwanachama mtiifu wa CHADEMA tangu 1996 hadi hivi sasa nimevaa gwanda naombea kura chama changu. Licha ya juhudi zote hizi naona viongozi wetu wa CHADEMA hasa Dr slaa na Mbowe wamefanya hiki chama kama self-property just look wamempokea na kumwingiza kwenye kamati kuu Mabere Marando ambaye inajulikana wazi kuwa ni pandikizi la CCM tena aliivuruga NCCR-MAGEUZI, hawa jamaa hatujui hata ruzuku inatumikaje tukihoji tunazibwa mdomo, wameanza kutudhalilisha wanachadema wenzao kwa matendo yao maovu kama kupora wake za watu sasa wote tunaonekana mafuska................sasa nimekusudia kwa dhati kuhama chama hiki niwaache Mbowe na Dr Slaa waendeleze ukabila wao kwa maana hata wakishinda nahofia lugha ya taifa inaweza kuwa kichagga au kimbulu.
Remember Tanzania is first before CHADEMA, CUF&CCM
Nimeandika hii post ili kuomba ushauri wenu kwa maana kujiondoa CHADEMA ni jambo zito si jambo rahisi kabisa ndio maana nakusudia kupata ushauri wenu ambao naamini utanisaidia kufanya uamuzi sahihi lakini nasikitika kuona mnaojiita great thinkers mmegeuka waropokaji ambao mnashindwa kujenga hoja na kunishauri badala yake mnaongozwa na jazba.................narudia tena kutokana na sababu nilizoziorodhesha hapo juu nakusudia kujitoa CHADEMA naomba ushauri wenu wana JF
Wana JF wenzangu nimekuwa mwanachama mtiifu wa CHADEMA tangu 1996 hadi hivi sasa nimevaa gwanda naombea kura chama changu. Licha ya juhudi zote hizi naona viongozi wetu wa CHADEMA hasa Dr slaa na Mbowe wamefanya hiki chama kama self-property just look wamempokea na kumwingiza kwenye kamati kuu Mabere Marando ambaye inajulikana wazi kuwa ni pandikizi la CCM tena aliivuruga NCCR-MAGEUZI, hawa jamaa hatujui hata ruzuku inatumikaje tukihoji tunazibwa mdomo, wameanza kutudhalilisha wanachadema wenzao kwa matendo yao maovu kama kupora wake za watu sasa wote tunaonekana mafuska................sasa nimekusudia kwa dhati kuhama chama hiki niwaache Mbowe na Dr Slaa waendeleze ukabila wao kwa maana hata wakishinda nahofia lugha ya taifa inaweza kuwa kichagga au kimbulu.
Remember Tanzania is first before CHADEMA, CUF&CCM
hata aliyekutuma anaweza asikulipe kwa kuwa una mbinu za kipuuzi.....unshaambiwa kamuombe ushauri aliyekuingiza chadema lakini bado unang'ang'ania kuomba ushauri....Nimeandika hii post ili kuomba ushauri wenu kwa maana kujiondoa CHADEMA ni jambo zito si jambo rahisi kabisa ndio maana nakusudia kupata ushauri wenu ambao naamini utanisaidia kufanya uamuzi sahihi lakini nasikitika kuona mnaojiita great thinkers mmegeuka waropokaji ambao mnashindwa kujenga hoja na kunishauri badala yake mnaongozwa na jazba.................narudia tena kutokana na sababu nilizoziorodhesha hapo juu nakusudia kujitoa CHADEMA naomba ushauri wenu wana JF
Kwani wanaingizwa au wanaingia?kamuombe ushauri aliyekuingiza chadema...