We Know Next
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 814
- 380
Ndugu kwa hili umechemsha! Hembu acha watu waongee vitu vya msingi, tusiende ktk mambo ya nguoni.
Wana JF wenzangu nimekuwa mwanachama mtiifu wa CHADEMA tangu 1996 hadi hivi sasa nimevaa gwanda naombea kura chama changu. Licha ya juhudi zote hizi naona viongozi wetu wa CHADEMA hasa Dr slaa na Mbowe wamefanya hiki chama kama self-property just look wamempokea na kumwingiza kwenye kamati kuu Mabere Marando ambaye inajulikana wazi kuwa ni pandikizi la CCM tena aliivuruga NCCR-MAGEUZI, hawa jamaa hatujui hata ruzuku inatumikaje tukihoji tunazibwa mdomo, wameanza kutudhalilisha wanachadema wenzao kwa matendo yao maovu kama kupora wake za watu sasa wote tunaonekana mafuska................sasa nimekusudia kwa dhati kuhama chama hiki niwaache Mbowe na Dr Slaa waendeleze ukabila wao kwa maana hata wakishinda nahofia lugha ya taifa inaweza kuwa kichagga au kimbulu.
Remember Tanzania is first before CHADEMA, CUF&CCM
Wewe ni walewale,ama kweli Nyani hawezi ona Kundule.jamaniiiiii eeeh,jamaaaa sikashasema?apendezwi na ukabila na uendeshaji mbovu wa chama na maadili mabovu ya viongozi,mi naona hii ni challenge kwenu mnaojiita wanachadema,embu chakachueni hayo mawazo yake mwisho wa siku mtakuja kujuta bureeeeeeeee na mda utakuwa umeisha.embu tafakarini kama mwenzenu alikuwa chadema kuanzia1996 mpaka leo ameemua kujitoa inaonekana ni mengi yanayofanywa na chama hicho.naona mwanachama aliyojitoa atuambie ni nini kilichomfanya atoke,labda na wengine watamuunga mkono au sio?zindukeni vijana