Nataka kujitoa chadema naomba ushauri

Hamia Chamani... kinawapenda wanaojua kukwapua mijihela na wasiokuwa na staha ya mali ya umma kama wewe.....
 
Wana JF wenzangu nimekuwa mwanachama mtiifu wa CHADEMA tangu 1996 hadi hivi sasa nimevaa gwanda naombea kura chama changu. Licha ya juhudi zote hizi naona viongozi wetu wa CHADEMA hasa Dr slaa na Mbowe wamefanya hiki chama kama self-property just look wamempokea na kumwingiza kwenye kamati kuu Mabere Marando ambaye inajulikana wazi kuwa ni pandikizi la CCM tena aliivuruga NCCR-MAGEUZI, hawa jamaa hatujui hata ruzuku inatumikaje tukihoji tunazibwa mdomo, wameanza kutudhalilisha wanachadema wenzao kwa matendo yao maovu kama kupora wake za watu sasa wote tunaonekana mafuska................sasa nimekusudia kwa dhati kuhama chama hiki niwaache Mbowe na Dr Slaa waendeleze ukabila wao kwa maana hata wakishinda nahofia lugha ya taifa inaweza kuwa kichagga au kimbulu.

Remember Tanzania is first before CHADEMA, CUF&CCM

Uliwafuata wao? Usifanye chama kama ndoa, ambayo kwenye ndoa ukimchoka mmeo/mkeo, unaachana na familia yao yote...! Aidha, kwaheri na usikaribie tena....! Kwanini usiihame na Tanzania uachane na JK, LOWASA, KARAMAGI, MSABAHA, MRAMBA, CHENGE, et al. waendeleze Ufisadi wao?
 
Wana JF wenzangu nimekuwa mwanachama mtiifu wa CHADEMA tangu 1996 hadi hivi sasa nimevaa gwanda naombea kura chama changu. Licha ya juhudi zote hizi naona viongozi wetu wa CHADEMA hasa Dr slaa na Mbowe wamefanya hiki chama kama self-property just look wamempokea na kumwingiza kwenye kamati kuu Mabere Marando ambaye inajulikana wazi kuwa ni pandikizi la CCM tena aliivuruga NCCR-MAGEUZI, hawa jamaa hatujui hata ruzuku inatumikaje tukihoji tunazibwa mdomo, wameanza kutudhalilisha wanachadema wenzao kwa matendo yao maovu kama kupora wake za watu sasa wote tunaonekana mafuska................sasa nimekusudia kwa dhati kuhama chama hiki niwaache Mbowe na Dr Slaa waendeleze ukabila wao kwa maana hata wakishinda nahofia lugha ya taifa inaweza kuwa kichagga au kimbulu.

Remember Tanzania is first before CHADEMA, CUF&CCM
wewe ni mpuuzi kama wapuuzi wengine woote waliowahi kutokea duniani tena umezidi sana.
kaongee na mzazi wako kwanza kisha uje kuongea na watu wazima hapa jukwaani.
 
.... Kuondoka kwako sio mwisho wa mapambano dhidi ya walevi wa CCM kama wewe. Tutaendelea kutetea watu wetu na vizazi vijavyo dhidi ya dhuluma katika taifa hili linaloitwa nchi masikini huku wabakaji wa mali zetu wakijulikana... Ondoka na hata usingesema kabla ya kuondoka. Mbona CCM sasa ni ya familia tukutu peke yake au na wewe ni miongoni mwa ridhiwani na miraji. pole!!!
 
Wana JF wenzangu nimekuwa mwanachama mtiifu wa CHADEMA tangu 1996 hadi hivi sasa nimevaa gwanda naombea kura chama changu. Licha ya juhudi zote hizi naona viongozi wetu wa CHADEMA hasa Dr slaa na Mbowe wamefanya hiki chama kama self-property just look wamempokea na kumwingiza kwenye kamati kuu Mabere Marando ambaye inajulikana wazi kuwa ni pandikizi la CCM tena aliivuruga NCCR-MAGEUZI, hawa jamaa hatujui hata ruzuku inatumikaje tukihoji tunazibwa mdomo, wameanza kutudhalilisha wanachadema wenzao kwa matendo yao maovu kama kupora wake za watu sasa wote tunaonekana mafuska................sasa nimekusudia kwa dhati kuhama chama hiki niwaache Mbowe na Dr Slaa waendeleze ukabila wao kwa maana hata wakishinda nahofia lugha ya taifa inaweza kuwa kichagga au kimbulu.

Remember Tanzania is first before CHADEMA, CUF&CCM

Heshima kwako Nawpaasulia,

Ni ruksa kuhama CHADEMA kama umeridhika pasipo shaka kimepoteza mwelekeo.Katiba JMT imeweka wazi mtu anaweza kujiunga au kuondoka kwenye chama sidhani kama ni busara kutaka wanajamvi ushauri nitakusamehe pengine uchanga wako umechangia.JF unaweza kupewa ushauri mzuri kwenye masuala ya mapenzi,miradi na nk habari za kujitoa CHADEMA mwombe ushauri Makamba.
 
Wana JF wenzangu nimekuwa mwanachama mtiifu wa CHADEMA tangu 1996 hadi hivi sasa nimevaa gwanda naombea kura chama changu. Licha ya juhudi zote hizi naona viongozi wetu wa CHADEMA hasa Dr slaa na Mbowe wamefanya hiki chama kama self-property just look wamempokea na kumwingiza kwenye kamati kuu Mabere Marando ambaye inajulikana wazi kuwa ni pandikizi la CCM tena aliivuruga NCCR-MAGEUZI, hawa jamaa hatujui hata ruzuku inatumikaje tukihoji tunazibwa mdomo, wameanza kutudhalilisha wanachadema wenzao kwa matendo yao maovu kama kupora wake za watu sasa wote tunaonekana mafuska................sasa nimekusudia kwa dhati kuhama chama hiki niwaache Mbowe na Dr Slaa waendeleze ukabila wao kwa maana hata wakishinda nahofia lugha ya taifa inaweza kuwa kichagga au kimbulu.

Remember Tanzania is first before CHADEMA, CUF&CCM

Ndugu kama huna cha kufanya lala.
 
Nimeandika hii post ili kuomba ushauri wenu kwa maana kujiondoa CHADEMA ni jambo zito si jambo rahisi kabisa ndio maana nakusudia kupata ushauri wenu ambao naamini utanisaidia kufanya uamuzi sahihi lakini nasikitika kuona mnaojiita great thinkers mmegeuka waropokaji ambao mnashindwa kujenga hoja na kunishauri badala yake mnaongozwa na jazba.................narudia tena kutokana na sababu nilizoziorodhesha hapo juu nakusudia kujitoa CHADEMA naomba ushauri wenu wana JF
 
Si bure, unatafuta bwana wewe.....
 
Kwani hao Chadema wamekushikilia na super glue? Vua magwanda uondoke. huna haja ya kukaa sehemu unayoona haustahili hiyo ndio demokrasia.
 
Ukweli ni bitter to swallow eeh............hata kama watu hawapendi ukweli CHADEMA ya leo ni self-propety ya Mbowe na Dr slaa tofauti na CHADEMA ya enzi za Edwin Mtei na Bob Makani ambayo ilikuwa ya wanachadema wote ndio maana nasema wazi kuwa nakusudia kujitoa CHADEMA naomba ushauri wana JF
 
NAWAPASULIA
32255_121703247858782_112258888803218_222024_70321_s.jpg
 
ndugu nawapasulia naona umetoa tuhuma zilizokufanya kwann unataka kuhama chadema,mm ni mwana chadema nitalifanyia uchunguzi nikigundua kuwa na ukweli nitahama,na jamaniiii mwenzetu katoa mtazamo wake haina haja ya kumtukana bila sababu kiama imekuuma pia fanya uchunguzi chukua hatua.
 
Hivi wewe nawapasulia unadhani JF sehemu ya kuja hoja za kitoto kama zako hapa ni home of great thinkers bwana na kuna watu watundu wenye uwezo wa kujenga na kubomoa hoja watakavyo so be carefully
 
Nimeandika hii post ili kuomba ushauri wenu kwa maana kujiondoa CHADEMA ni jambo zito si jambo rahisi kabisa ndio maana nakusudia kupata ushauri wenu ambao naamini utanisaidia kufanya uamuzi sahihi lakini nasikitika kuona mnaojiita great thinkers mmegeuka waropokaji ambao mnashindwa kujenga hoja na kunishauri badala yake mnaongozwa na jazba.................narudia tena kutokana na sababu nilizoziorodhesha hapo juu nakusudia kujitoa CHADEMA naomba ushauri wenu wana JF

Mimi naona wewe umekuwa GREAT STINKA
 
:alien: An alien, unaitwa kwa famailia ya wakwere you may gladly join them. Umejiunga juma4 only for this? umepotea njia **[[[##>>>
QUOTE=NAWAPASULIA;1132373]Wana JF wenzangu nimekuwa mwanachama mtiifu wa CHADEMA tangu 1996 hadi hivi sasa nimevaa gwanda naombea kura chama changu. Licha ya juhudi zote hizi naona viongozi wetu wa CHADEMA hasa Dr slaa na Mbowe wamefanya hiki chama kama self-property just look wamempokea na kumwingiza kwenye kamati kuu Mabere Marando ambaye inajulikana wazi kuwa ni pandikizi la CCM tena aliivuruga NCCR-MAGEUZI, hawa jamaa hatujui hata ruzuku inatumikaje tukihoji tunazibwa mdomo, wameanza kutudhalilisha wanachadema wenzao kwa matendo yao maovu kama kupora wake za watu sasa wote tunaonekana mafuska................sasa nimekusudia kwa dhati kuhama chama hiki niwaache Mbowe na Dr Slaa waendeleze ukabila wao kwa maana hata wakishinda nahofia lugha ya taifa inaweza kuwa kichagga au kimbulu.

Remember Tanzania is first before CHADEMA, CUF&CCM[/QUOTE]
 
Wana JF wenzangu nimekuwa mwanachama mtiifu wa CHADEMA tangu 1996 hadi hivi sasa nimevaa gwanda naombea kura chama changu. Licha ya juhudi zote hizi naona viongozi wetu wa CHADEMA hasa Dr slaa na Mbowe wamefanya hiki chama kama self-property just look wamempokea na kumwingiza kwenye kamati kuu Mabere Marando ambaye inajulikana wazi kuwa ni pandikizi la CCM tena aliivuruga NCCR-MAGEUZI, hawa jamaa hatujui hata ruzuku inatumikaje tukihoji tunazibwa mdomo, wameanza kutudhalilisha wanachadema wenzao kwa matendo yao maovu kama kupora wake za watu sasa wote tunaonekana mafuska................sasa nimekusudia kwa dhati kuhama chama hiki niwaache Mbowe na Dr Slaa waendeleze ukabila wao kwa maana hata wakishinda nahofia lugha ya taifa inaweza kuwa kichagga au kimbulu.

Remember Tanzania is first before CHADEMA, CUF&CCM

Kwanza piga hodi...halafu jitambulishe hapa JF...ndio jadi yetu...Hilo suala lako halina ushauri toka kwangui kwa kuwa wewe si CHADEMA tena kwa mujibu wa maelezo yako
 
Nimeandika hii post ili kuomba ushauri wenu kwa maana kujiondoa CHADEMA ni jambo zito si jambo rahisi kabisa ndio maana nakusudia kupata ushauri wenu ambao naamini utanisaidia kufanya uamuzi sahihi lakini nasikitika kuona mnaojiita great thinkers mmegeuka waropokaji ambao mnashindwa kujenga hoja na kunishauri badala yake mnaongozwa na jazba.................narudia tena kutokana na sababu nilizoziorodhesha hapo juu nakusudia kujitoa CHADEMA naomba ushauri wenu wana JF
hata aliyekutuma anaweza asikulipe kwa kuwa una mbinu za kipuuzi.....unshaambiwa kamuombe ushauri aliyekuingiza chadema lakini bado unang'ang'ania kuomba ushauri....
.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom