Nataka kuhamia Kibamba naomba mwongozo

Stv Mkn

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
328
273
Kwa wenyeji na wazoefu wa maeneo ya Kibamba nataka kuhamia huko. Naomba mnisaidie kufahamu ni Kibamba ipi nzuri kwa mtu anaeishi maisha ya kibachela na rahisi kwenda na kurudi katikati ya jiji.

Pia namna gani naweza pata chumba au nyumba ya kupanga na bei zake zipoje, kwa nyumba standard iliyo ndani ya fensi yenye parking.

Hodi Kibamba!
 
Kibamba ni rahisi tu maana sikuhizi kuna mwendokasi.
Ila pia daladala mpaka mbezi huwezi kosa siti. Ni chap tu barabara ni pana. Upepo mwanana kabisa joto huanzia mbezi kivanda cha mkaa.
Vyumba vya kibachela simple sana.
1 room 50-80
2 rooms 200-400
1 room ,dinning na jiko 80-150.
Very smart houses ukitulia ukitafuta.
Mji kama unamwaga mkojo fasta tu.
 
Duh mkuu hii mbona mtelemko sana.
Je Kibamba ipi ni nzuri maana napofahamu ni Kibamba shule kwa mbali tu nikienda kibaha?
Na kama una namba ya dalali nisaidie
 
Duh mkuu hii mbona mtelemko sana.
Je Kibamba ipi ni nzuri maana napofahamu ni Kibamba shule kwa mbali tu nikienda kibaha?
Na kama una namba ya dalali nisaidie
Kuna kibamba ccm
Kibamba njiapanda
Kibamba hospitali
Ni wewe na chaguzi dalali kwakweli kwanza urahisi uende unapopataka utapata tu dalali.
 
Kibamba ni rahisi tu maana sikuhizi kuna mwendokasi.
Ila pia daladala mpaka mbezi huwezi kosa siti. Ni chap tu barabara ni pana. Upepo mwanana kabisa joto huanzia mbezi kivanda cha mkaa.
Vyumba vya kibachela simple sana.
1 room 50-80
2 rooms 200-400
1 room ,dinning na jiko 80-150.
Very smart houses ukitulia ukitafuta.
Mji kama unamwaga mkojo fasta tu.
Mwambie na mengine kibamba ni kijijini network shida
 
Karibu kibamba mm nilitoka nyimbani nokaja kuanzisha maisha kibamba nashukuru Mungu sihaba maisha Yana kwenda upepo safi mazingira safi Mimi naishi kibamba shule hondogo kunako tegemewa kuja kujengwa chuo Cha veta wilaya ya ubungo
 
Asante mkuu, naomba nisaidie mawasiliano ya madalali kama unayo.
 
Back
Top Bottom