nataka kufungua organization....

majogajo

JF-Expert Member
Oct 9, 2011
317
44
wana jf nisaidieni... nataka kufungua organization inhusiana na kusafirisha wanafunzi wa shule za sekondary kwenda kwenye vivutio vya utalii. je nifanye nini? au nisajili wapi? au nini kinatakiwa ili nisacceed na wazo langu?
 
  1. Kwanza kabisa elewa hiyo ni aina gani ya busines... Kwa maoni yangu ni Touring.
  2. Pili tafuta vitabu vinavyo husiana na touring in general uelewe ni strategies gani zinahusika.
  3. Tatu elewa challenges za target yako (wanafunzi). Nani anawaalika/watuma? nani anawalipia? Anae watuma'waalika ana lengo gani? anataka waelewe nini? wenyewe wanapenda nini? wakirudi unataka wakumbuke safari kwa kipi zaidi? walio watuma wanaogopa nini na watatulizwa shaka na strategies gani?
  4. Alafu kwa nini wengine hawajawahi kufanya hiyo biashara? ina challenges gani? na walio ifanya wanapata faida? wanatumia strategies gani? Wewe unaleta kipi kipya katika biashara hiyo? utawazidi kwa kipi etc.
  5. Ikiwa wewe sio mtaalam wa touring basi ajiri mtaalam, angalau kwa kukusaidia katika feasibility study ya business...
Kila la kheri.
 
Changamoto mojawapo ni kwamba walimu wa michezo wa shule za sekondari huwa wanafanya hiyo kazi. Kuna maslahi wanapata. Jiandae namna ya kukabiliana na huo ushindani. Nitarudi b'dae kwa ushauri zaidi.
 
mkuu wazo zuri
kwanza kabisa watakiwa uwe na website so kwa kuanza fanya hivi anza kwa kufungua website...
waone
Ibang Net
watakusaidia kupata website nzuri na kwa bei nafuu...

pili kwa maoni yangu biashara ikiwa kubwa utahitaji kuwa na program yako mwenyewe
(kwanini wahitaji program?)
umesema kuwa unataka kuwa na organisation itakayokuwa ina deal na kusafirisha wanafunzi biashara ikiwa kubwa wanafunzi watakuwa wana book kwanini wanabook?? kwa sababu wanafunzi sio kila siku wanaenda kwenye mbuga za utalii mara nyingi ni kile kipindi cha holiday au weekend so hapo utakuta kuna kundi kubwa na shule nyingi zinataka kusafiri so hapo they will need to book sisi tutakutengenezea program katika website yako itakayomuwezesha mtu yeyote ku book service zenu akiwa sehemu yeyote duniani kwa sharti moja dogo tu awe na internet connection....

baada ya hapo utahitaji utengeneze corporate identity kama logo, jina la kampuni,
waone
Ibang Net watakufanyia hivyo vitu kwa bei nafuu

utahitaji utengeneze advertisement
inategemea na budget yako
it can be
print advertisement, billboard adv, redio or Tv advertsement...

waone

Ibang Net

kwa maelezo zaidi ni tu PM
au tuandikie kupitia
info@ibangnet.com
au piga simu nambari
+919980047826
 
Sasa mbona umetoa namba za India mkuu? Nilidhani mambo yote hapahapa bongo!

Okay ukiingia katika website yetu kuna namba zetu
waweza piga namba
+255754382711
kwa agent wetu aliyepo Tanzania
na unaweza kwenda kumwona yeye
niliweka namba ya India kwa sababu HQ ya kampuni yetu kwa sasa iko India ndio maana nikaona ni bora niweke namba ya india ili uweze ongea direct na sisi
ila kwa kuwa Tanzania tuna mtu wetu muone kwa kupitia namba
+255754382711
na yeye atakupa maelekezo yote unayoyataka...

Thanks
Ibang Net Team...
 
wana jf nisaidieni... nataka kufungua organization inhusiana na kusafirisha wanafunzi wa shule za sekondary kwenda kwenye vivutio vya utalii. je nifanye nini? au nisajili wapi? au nini kinatakiwa ili nisacceed na wazo langu?
is it for profit or not for profit. these two types of org are governed by different legislations.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom