Natafuta web designer

Matongee

JF-Expert Member
Jun 17, 2023
253
629
Kama wewe ni web designer mzuri nipe ofa yako PM kwa ku-design website kama hii ya Findel International. Biashara yangu ni kama yao 100%.

Kitu ambacho sitataka kama wao ni huo mfumo wa malipo (payment integration)... kwa sasa sihitaji. Visit hiyo website kupitia link niliyokuwekea kisha njoo na ofa yako PM.

 
Mbona hiyo ni kama ecommerce ivi?, ulisha wahi kujaribu hizi ecommerce zilizopo ku list bidhaa zako
 
Back
Top Bottom