natafuta samsung Galaxy 2 used ya bei poa

MT255

JF-Expert Member
May 3, 2012
3,381
4,648
habari wakuu jf ninatafuta samsung galaxy 2 ilitumika ya bei nzuri kwa yoyote mwenyenayo anijuze
0655200004 natanguliza shukrani.
 
Leta hiyo lakitatu nikupe Samsung Galaxy Y Pro Duo Android swaafi kabisa nimeitumia miezi 2 tu bado mpya
 
Back
Top Bottom