Mkuu usije ukajaribu kununua mashine ya photocopy USED. Utajuta.jamani yeyote ambaye anauza au anakojua zinapatikana photocopy mashne used kwa bei rahsi aniambie. Inahtajika haraka sana
Mkuu usije ukajaribu kununua mashine ya photocopy USED. Utajuta.
Jipange ununue mpya kabisa ambazo bei zake ni hizo alizotaja mdau Superman .
jamani yeyote ambaye anauza au anakojua zinapatikana photocopy mashne used kwa bei rahsi aniambie. Inahtajika haraka sana
Mkuu nenda Uwanja wa Maonyesho wa Sabasaba. Utapata za kila aina. Za kati TZS 1.5 M. Heavy Duty 2.5M.
Mpya Medium TZS 2.5 M.
Goodluck!
Mkuu hii mpya ya TZS 2.5M naweza ipata wapi? ni pale pale sabasaba au kwingine?
Asante
Jamani, photocopy ziko za bei kuanzia dola mia mpaka elfu ishirini na tano, na ni za aina nyingi. Mimi kwangu nina photocopy mashine ya dola mia ishirini, kazini kwetu kuna copier ya dola elfu kumi na nane, sasa mtu ukisema unataka copier ya bei rahisi, do you mean ya kinyumbani nyumbani au iliyokaa kikazi zaidi?
halafu Wabongo bado hatujui kutumia mtandao kwa kweli, kwa nini usiingie kwenye google ukabandika mwenyewe picha hapa za dizaini ya copy unayotaka halafu tukapata idea ya huyu mtu anataka copier kabila gani?
Mkuu usije ukajaribu kununua mashine ya photocopy USED. Utajuta.
Jipange ununue mpya kabisa ambazo bei zake ni hizo alizotaja mdau Superman .
Hapo Mukulu Ndibalema umedanganya. Ukweli ni kwamba photocopy mashine used zipo nzuri tu tena zinadumu sana, inategemea umezipata wapi. Alafu ujue kuwa baadhi ya photocopy zinazoitwa mpya bongo ni feki. Ukitafuta genuine photocopy mashine kutoka Canon hakuna copier ya chini ya Tsh 3M. Huyo anayeuza Tanzania kwa mpya Tsh 2.5M Canon ameitoa wapi na amelipa ushuru kiasi gani. Watu wanauza hapa bongo Canon 2318 kwa 2.5M wakati canon distributors wauza copier chini ya hiyo kwa 3M.
Copiers used nzuri zipo tu, ukitaka nikupe knowledge zaidi juu ya copiers ni PM
Mkuu Kagalala sijui una la kuongezea?na mimi nikusaidie canon city (univesal communication solutions (T) ltd, ndio dealer wa canon product kwa tanzania bei wanayouza ni manufacture price na kuhusu kodi machine zote ambazo ni mult function hazilipiwi kodi
Hiyo sio mpaya bali ilichezwa dili watu wakala hela usha sema ya office watu utengeneza mazingira ya ulajiMkuu usitishwe na upya. Ofisini kwetu tulinunua photocopy mpya kwa milioni 7 haikumaliza hata mwaka ikawa na matatizo lundo. Kwa kifupi vitu vingi tunavyouziwa TZ vikiwa vipya ubora wake ni wa mashaka. Unaweza kupata used from Europe kwa 1.5 milioni na ikawa bora kuliko hiyo mpya ya 2.5 mil.