Natafuta photocopy machine

oxlade

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
601
94
jamani yeyote ambaye anauza au anakojua zinapatikana photocopy mashne used kwa bei rahsi aniambie. Inahtajika haraka sana
 
Mkuu nenda Uwanja wa Maonyesho wa Sabasaba. Utapata za kila aina. Za kati TZS 1.5 M. Heavy Duty 2.5M.

Mpya Medium TZS 2.5 M.

Goodluck!
 
Mkuu usije ukajaribu kununua mashine ya photocopy USED. Utajuta.
Jipange ununue mpya kabisa ambazo bei zake ni hizo alizotaja mdau Superman .
 
Zipo used nzuri tu mkuu, ni suala la kuwa makini tu ktk selection au kumtumia fundi mzoefu na mwaminifu aliyeweza ku-collude na muuzaji
 
jamani yeyote ambaye anauza au anakojua zinapatikana photocopy mashne used kwa bei rahsi aniambie. Inahtajika haraka sana

Oxlade mpigie huyu jamaa anazo used imported from Europe. 0784658999 au 0756781951
 
Mkuu nenda Uwanja wa Maonyesho wa Sabasaba. Utapata za kila aina. Za kati TZS 1.5 M. Heavy Duty 2.5M.

Mpya Medium TZS 2.5 M.

Goodluck!

Mkuu hii mpya ya TZS 2.5M naweza ipata wapi? ni pale pale sabasaba au kwingine?
Asante
 
Mkuu usitishwe na upya. Ofisini kwetu tulinunua photocopy mpya kwa milioni 7 haikumaliza hata mwaka ikawa na matatizo lundo. Kwa kifupi vitu vingi tunavyouziwa TZ vikiwa vipya ubora wake ni wa mashaka. Unaweza kupata used from Europe kwa 1.5 milioni na ikawa bora kuliko hiyo mpya ya 2.5 mil.
 
Jamani, photocopy ziko za bei kuanzia dola mia mpaka elfu ishirini na tano, na ni za aina nyingi. Mimi kwangu nina photocopy mashine ya dola mia ishirini, kazini kwetu kuna copier ya dola elfu kumi na nane, sasa mtu ukisema unataka copier ya bei rahisi, do you mean ya kinyumbani nyumbani au iliyokaa kikazi zaidi?

halafu Wabongo bado hatujui kutumia mtandao kwa kweli, kwa nini usiingie kwenye google ukabandika mwenyewe picha hapa za dizaini ya copy unayotaka halafu tukapata idea ya huyu mtu anataka copier kabila gani?
 
Nakubaliana nawe mkuu. Maana watu tumebaki kumwelekeza tu awasiliane na nani na kumtajia bei bila kujua aina ya photocopy anayoihitaji. Hata mimi nimenunua printer Ulaya ambayo pia ni scanner na ni photocopy mashine kwa USD 90 tu tena ikiwa na wino ndani kwa matumizi yangu ya nyumbani. Kwahiyo akitajiwa bei ya mil. 2.5 hajuwi hata hiyo photocopy inafananaje.
 
kwa kweli thanks kwa jamii forum and all users. Nlikua napata tabu wapi naweza kupata hyo mashne pia. Ila nw i thnk i hv a clue kwa hao cano city. Thankx 19don
 
Mkuu usije ukajaribu kununua mashine ya photocopy USED. Utajuta.
Jipange ununue mpya kabisa ambazo bei zake ni hizo alizotaja mdau Superman .

Hapo Mukulu Ndibalema umedanganya. Ukweli ni kwamba photocopy mashine used zipo nzuri tu tena zinadumu sana, inategemea umezipata wapi. Alafu ujue kuwa baadhi ya photocopy zinazoitwa mpya bongo ni feki. Ukitafuta genuine photocopy mashine kutoka Canon hakuna copier ya chini ya Tsh 3M. Huyo anayeuza Tanzania kwa mpya Tsh 2.5M Canon ameitoa wapi na amelipa ushuru kiasi gani. Watu wanauza hapa bongo Canon 2318 kwa 2.5M wakati canon distributors wauza copier chini ya hiyo kwa 3M.
Copiers used nzuri zipo tu, ukitaka nikupe knowledge zaidi juu ya copiers ni PM
 
na mimi nikusaidie canon city (univesal communication solutions (T) ltd, ndio dealer wa canon product kwa tanzania bei wanayouza ni manufacture price na kuhusu kodi machine zote ambazo ni mult function hazilipiwi kodi
 
Mkuu Kagalala sijui una la kuongezea?
 
Photocopy ya aina gani, size gani na yenye operations gani? Bei rahisi kwako ni shs. ngapi?
 
Mkuu usitishwe na upya. Ofisini kwetu tulinunua photocopy mpya kwa milioni 7 haikumaliza hata mwaka ikawa na matatizo lundo. Kwa kifupi vitu vingi tunavyouziwa TZ vikiwa vipya ubora wake ni wa mashaka. Unaweza kupata used from Europe kwa 1.5 milioni na ikawa bora kuliko hiyo mpya ya 2.5 mil.
Hiyo sio mpaya bali ilichezwa dili watu wakala hela usha sema ya office watu utengeneza mazingira ya ulaji
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom