Natafuta mwanamke anayefaa kuwa mke

Rolf

Member
Jul 4, 2021
16
32
Kichwa cha habari chahusika.

Natafuta mwanamke mwenye uhitaji wa kuwa na mwanaume kwa malengo ya ndoa na kujenga familia bora.

Sifa za huyo mwanamke :
1. Awe mwenye hofu ya Mungu
2. Awe kabila lolote lile
3. Umri kuanzia miaka 22 - 35
4. Asiwe single maza
5. Elimu yake iwe kuanzia form iv
6. Awe mwajiriwa au amejiari / mjaririamali
7 . Awe tayari kupima HIV
8. Asiwe mlevi / chapombe

Sifa zangu.

1. Nina hofu ya Mungu
2. Umri miaka 36
3. Elimu ya chuo kikuu
4. Nina kibarua kinaniweka mjini
5.Sio mlevi but sometimes nakunywa
6. Nipo tayari kupima HIV 24/7

Kwa mwenye sifa karibu tuyajenge.

Asanteni na karibuni sana.
 
Single maza tumesahaulika
Shida inakuja kwenye kupasha viporo! At the beginning huwa wapole kama malaika na utasema mke ndio huyo yale aliyopitia ilikuwa bahati mbaya tu (mapito ya dunia) after a while - 2 to 3 years ndio utaijua rangi yake halisi, anarudisha majeshi kwa mzazi mwenzie kimya kimya kwa kigezo kuwa anampelekea mtoto na huyo ni mzazi mwenzie.

Hata umpe kila kitu still atarudi tu kwa mzazi mwenzie , hapo ndio shida ya singo maza ilipo. Otherwise huwa ni wake wazuri sana maana wamepitia mengi and they know how to handle husband ..shida ni akikumbuka tu utamuu wa mzazi mwenzie
 
Vya pombe umetutenga

Depal acha mambo yako we mtu mwenyewe hata Reds / Savannah moja humalizi inakushinda! Jokes 😃😃

By the way mwanamke anayekunywa sio tatizo , akinywa kwa kiasi na akajua wajibu wake as a woman sio tatizo. Ndio maana hata mimi nimesema sometimes huwa nakunywa but not everyday ! I can stay 1 - 3 months bila hata kunywa na sio kuwa sina hela no please ila hadi pale ninapohisi kiu au nikiwa na stress . Kwa kifupi pombe is not my priority !

So ikitokea wife to be anakunywa basi anywe kwa kiasi ili kufanya mengine ya kifamilia yaende sawia but chapombe/mlevi ni Big NO 😃😃
 
Ungekuwa Kanda ya Ziwa ningekaribia tatizo uko mbeya acha walio karibu na wewe wajaribu bahati zao mkuu.
 
Ungekuwa Kanda ya Ziwa ningekaribia tatizo uko mbeya acha walio karibu na wewe wajaribu bahati zao mkuu.
Huwezi jua huenda Mungu ndio amekuongoza uwe wangu wa maisha ila hofu yako tu ya distance relationship. Ina maana ukiwa kanda ya ziwa huwezi olewa na mtu wa mkoa tofauti? Ikiwa nimekuoa kisha nakuambia my wife nimepata kazi ulaya tuhamie huko utakataa mke wangu?
 
Shida inakuja kwenye kupasha viporo! At the beginning huwa wapole kama malaika na utasema mke ndio huyo yale aliyopitia ilikuwa bahati mbaya tu (mapito ya dunia) after a while - 2 to 3 years ndio utaijua rangi yake halisi, anarudisha majeshi kwa mzazi mwenzie kimya kimya kwa kigezo kuwa anampelekea mtoto na huyo ni mzazi mwenzie.

Hata umpe kila kitu still atarudi tu kwa mzazi mwenzie , hapo ndio shida ya singo maza ilipo. Otherwise huwa ni wake wazuri sana maana wamepitia mengi and they know how to handle husband ..shida ni akikumbuka tu utamuu wa mzazi mwenzie
Mfano ;
single mama huyo ana mtoto walietengana na baba wahuko mtoto toka mtoto akiwa na miezi 5 tu mpaka leo mtoto anamaliza STD 7 hawajuani na wala kujua huyu yuko wp wala yule yuko wp nimama tu kafaiti kutoka mtoto miezi 5 mpaka sasa miaka12 ,SIO KILA MAMA MWENYE MTOTO MNAFIKIRI ANAKUWA NA MWENDELEZO NA HUYO BABA WA MTOTO!!!!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kichwa cha habari chahusika.

Natafuta mwanamke mwenye uhitaji wa kuwa na mwanaume kwa malengo ya ndoa na kujenga familia bora.

Sifa za huyo mwanamke :
1. Awe mwenye hofu ya Mungu
2. Awe KABILA LOLOTE LILE
3. Umri kuanzia miaka 22 - 35
4. Asiwe single maza
5. Elimu yake iwe kuanzia form iv
6. Awe mwajiriwa au amejiari / mjaririamali
7 . Awe tayari kupima HIV
8. Asiwe mlevi / chapombe

Sifa zangu.

1. Nina hofu ya Mungu
2. Umri miaka 36
3. Elimu ya chuo kikuu
4. Nina kibarua kinaniweka mjini
5.Sio mlevi but sometimes nakunywa
6. Nipo tayari kupima HIV 24/7

Kwa mwenye sifa karibu tuyajenge.

ASANTENI NA KARIBUNI SANA
Una hofu ya Mungu lakini unakunywa...
Kila la heri mkuu.
 
Mfano ;
single mama huyo ana mtoto walietengana na baba wahuko mtoto toka mtoto akiwa na miezi 5 tu mpaka leo mtoto anamaliza STD 7 hawajuani na wala kujua huyu yuko wp wala yule yuko wp nimama tu kafaiti kutoka mtoto miezi 5 mpaka sasa miaka12 ,SIO KILA MAMA MWENYE MTOTO MNAFIKIRI ANAKUWA NA MWENDELEZO NA HUYO BABA WA MTOTO!!!!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app

Kwa scenario uliyoielezea it sound very clear kuwa chances ya huyo mwanamke kuwa na uhusiano wa kupasha kiporo ni ngumu sana unless huyo mwanamke awe na matatizo ya kutojielewa.

Lakini ukisoma pale pia nimeelezea kuwa ukiachana na hilo tatizo la kupasha kiporo singo maza wengi ...they are very good wife / wife materials.

Mfano itokee mtu anapata mke kama huyo singo maza uliyemtolea mfano..12 years no communication no huduma kwa mtoto no salamu achilia mbali kujua yupo wapi...huyo likely ana deserve kuwa wife of somebody no matter kuwa ni singo maza maana hakuna mazingira hatarishi hapo ya kupasha kiporo.

Shida inakuja eti mtu singo maza halafu ana mtoto wa mwaka na nusu au miaka 2 au 3, halafu bado ana communication na mzazi mwenzie kwa ajili ya matumizi ya mtoto halafu wewe anakudanganya sina communication nae, after one year unaona eti anakuambia mzazi mwenzangu anasema tusaidiane kuhudumia mtoto...as a man hapo tambua hapo tayari singo maza na mzazi mwenzie wanapika na kupakua.

But otherwise if everything is in place, singo maza are very good wife and always are trying to keeping their marriage stable and want to prove to society kuwa aliteleza tu katika maisha
 
Una hofu ya Mungu lakini unakunywa...
Kila la heri mkuu.

Mkuu kuwa na hofu ya Mungu haimaanishi kuwa usinywe! Ndio maana ukisoma biblia utaona hata Yesu alibariki mvinyo.
Kikubwa ni kujua unakunywa kwa kiasi gani na kufuata kanuni zake.

Sitaki nivae joho la kuwa mlokole wakati najua fika kuwa sometimes huwa nakunywa. Nipo very clear katika hilo
 
La saba "A" umetutenga

Shibela acha mambo yako bana! Hivi wewe la saba "A" kweli?😃😃

By the way elimu katika mahusiano haina nafasi kubwa sana ila kuna mazingira inabidi tu kigezo ch elimu kiwepo.

Mdio maana nimegusia hapo tu kwq kidato cha nne. Karibu sana mengine tuyajadili pm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom