Natafuta mume

Mamaaaaaaa makubwa haya
Hahahahaaa, nimecheka sana, haka kajukwaa kumbe kana vichekesho eeh?!! nyie wageni msiomjua boflo mtaingia mkenge, ni dume huyo, jamaa yetu ni gay na hana noma na hilo sasa nyie mnaoshobokea kila post ya mwanamke hapa mkikutana na kidume msishangae, na ni baunsa ukishindwa kusimamisha usishangae akkakukamata wewe...lol!
 
hakika mungu aliumba kila kiumbe kwa sababu maalumu aliweka vitu vingi vizuri na ili vikaipambe dunia na kwa hakika hakukosea kuumba wewe katika tumbo la mama yako naamini wewe uliumbwa kwa ustadi mkubwa kwa ajiri ya kuipamba dunia na ukweli unabaki kuwa kwa kila mwanaume mwenye mahitaji sabiti atatamani kuwa na mke mwenye naksi. na urembo wa namna yako najua mke mwema hutoka kwa mungu ila ukweli unabaki kuwa mwanamke ni pambo la nyumba hakika unastaili kuwa pambo la nyumba. ndiyo maana umeamua kuwa wazi pls nitafute 0713703083
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom