Natafuta mume

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
haya wana jf kwa wanaohitaji mke maridhawa.....

NATAFUTA MUME

Habari zenu wadau. Nina miaka 34, nimesoma nina kazi nzuri, na pia naamini ninavutia kiasi kama mwanamke.

Nimetoka kwenye familia yenye maadili,nimelelewa vizuri sina maskandal yoyote kama wasichana wengine wa mjini nina tabia nzuri nimekuwa na maboyfriend wanne tu maisha yangu yote, sielewi ni kwanini mpaka leo hii hajatokea mwanaume wa kunioa.

Sielewi tatizo ni nini, ushauri naotafuta ni hivi,nifanyeje niweze kupata mume? Akiwa mtanzania mwezangu au mzungu ni sawa tu.

Msinielewe vibaya sio kama nimekuwa desperate ila najisikia vibaya rafiki zangu karibia wote wameolewa na wana watoto nimebaki mimi kila mtu ananinyooshea kidole.

Kuna waanawake wengi mji huu wanatabia mbaya sana ila kila siku unasikia mmoja wao kaolewa,mimi sijui hata madisco ni mtu wa kwenda kazini na kurudi nyumbani yani nimelelewa kwa maadili mema.

Nisaidieni mwanamke mwenzenu
 
1.Uanze kufunga na kumwomba Mungu na kuvumilia
2. Aaanze kujichanganya kwenye social gatherings(asiwe mtu wa kazini,nyumbani).Nenda kanisani(ikiwezekana hata kwaya imba),mikutanoni,kwenye sherehe n.k
3.Nenda kwenye ushauri kwa watu wazima kama mchungaji na wamama wa makamo wenye heshima na uaminifu.
4.Kama imetokea umempenda mtu,jikaze umwambie unampenda.Usisubiri wewe ndo uambiwe(japo wengine wataona kama ukahaba).Na ukiona haelekei au anaonyesha dharau,ondoka mapema.
4.Usiwe CHEAP.Be EXPENSIVE lakini mwenye heshima.Vumilia mpaka wakati muafaka ufike nikimaanisha usikurupuke na chochote.
 
huyo dada mbona hajaweka hata namba ya simu basi tumtafute directly? au boflo ushakua pimp?
 
1.Uanze kufunga na kumwomba Mungu na kuvumilia
2. Aaanze kujichanganya kwenye social gatherings(asiwe mtu wa kazini,nyumbani).Nenda kanisani(ikiwezekana hata kwaya imba),mikutanoni,kwenye sherehe n.k
3.Nenda kwenye ushauri kwa watu wazima kama mchungaji na wamama wa makamo wenye heshima na uaminifu.
4.Kama imetokea umempenda mtu,jikaze umwambie unampenda.Usisubiri wewe ndo uambiwe(japo wengine wataona kama ukahaba).Na ukiona haelekei au anaonyesha dharau,ondoka mapema.
4.Usiwe CHEAP.Be EXPENSIVE lakini mwenye heshima.Vumilia mpaka wakati muafaka ufike nikimaanisha usikurupuke na chochote.

Huo ndo ushauri mzuri maombi yanasaidia sana, ila usiombe kwa ktarajia kjbiwa hapohapo, uwe na subira!!!!!!
 
Mali na nyumba mtu hupewa na baba yake, bali mke mwenye busara mtu hupewa na Mungu. Vumilia kama wasifu wako unaotuhabarisha haujachakachuliwa basi siku yako inakuja
 
1.Uanze kufunga na kumwomba Mungu na kuvumilia
2. Aaanze kujichanganya kwenye social gatherings(asiwe mtu wa kazini,nyumbani).Nenda kanisani(ikiwezekana hata kwaya imba),mikutanoni,kwenye sherehe n.k
3.Nenda kwenye ushauri kwa watu wazima kama mchungaji na wamama wa makamo wenye heshima na uaminifu.
4.Kama imetokea umempenda mtu,jikaze umwambie unampenda.Usisubiri wewe ndo uambiwe(japo wengine wataona kama ukahaba).Na ukiona haelekei au anaonyesha dharau,ondoka mapema.
4.Usiwe CHEAP.Be EXPENSIVE lakini mwenye heshima.Vumilia mpaka wakati muafaka ufike nikimaanisha usikurupuke na chochote.

Hapo akikosa wa kudumisha nae mila basi tena
A%20S%2039.gif
 
hahahahah wakaka wa jf naona mna shangwe mdada kaja mwenyewe!
iv apa tz akunaga clubs za mabechela?km huna unaenda apo kuxchange namba afu ikitik nyota mwaendelea??
mmh ingesaidia sana!!!!!!!

bt msimdanganye mwezenu msije mkawa mafanya research za chup funua funika ndo zenu?mwezenu anatafuta mume uyo !!!!
amen mpendwa mungu atakusadia na nia ya moyo wako ikatimia...sema amen........!!11
ol da best mwaya mi bado kidogo i 26yrs inanifanya niogope mandoa yao manake kila ukigeuka kuna kilio cha ndoa awa wamepeana sana mara awa wananyimana mara uyu ananmyima yule mara uyu mume wake anamnyima attention .ahaaaaaaaaaaaaa ili mradi kashda tu......m afraid le me finish ma role then ntaingia uko gerezani manake mmh mh nikichek picha kwa mbali........haaaaaa inaninyima raha ya kuingia SENEMA!!!!!!
ooh ma god i dnt knw wa to do bt...............ndoa.......mmh mmh mungu anyanyue mkono wake nimpate samson wangu nimnyonyoe nywele atulie namimi nipate aman dunian
au nkupe kakangu?ana elimu ya kidato cha 4 lakin ana busara na hekima,he is man to relay on,he is the controller ukiwa nae atanyosha matatizo yote,he is the shoulder to cry ,care n kind yan utakuwa mwanamke mwenye furaha atakufanya ucheke daily bt HANA PESA NI MAJALALA mbaya ....km poa sema.
au km wasaka mwenye PHD ,magari 7 kila siku na gari yake na mahela mingi mmh basi watakuja .........!!!!!!!!!
sali sana ili wasije magugu na ukawavuna pasipo kujua!!!
mungu akutangulie akupe busara na hekima katika machaguzi yako.
:welcome:
 
Naona kama vile akina bros wanahisia za muda mfupi. Boflo anataka long term, msimcheleweshe kama hao bfs wake waliotangulia.

Boflo muombe Mungu atakujajia!
 
Hahah hii nimeicheki kwenye web ya dada mmoja comment iliyonifurahisha kule ni hii
" wakaka wa JF hawana muda wa kufukuzia kina dada wao wako Busy na siasa "

Ya kweli haya :becky:
 
Dada nikushauri tu Mume hatafutwi ki hivyo hata siku moja tena kuwa na fikira za kuolewa ndo kabisa hutaolewa. Cha msingi muonbe Mungu sana akupe mume aliyekupangia usijefikiri kuoelewa ni mchezo. Nachokiona kwako umesema unakazi nzuri hapa inaonyesha unajali sana kazi yako na unapotoka nyumbani ofisini, ofisini nyumbani tena ukawa na corola kama yangu ndo kabisa hata hao wanaume watakuona saa ngapi nakwambia yaliyowahi kunikuta mpaka baadae nikaanza kwenda bar kukaa na wenzangu japokuwa pombe sinywi nikawa nafuatwa kila kukicha so jichanganye na watu wakuone. UTAOLEWA TU HAPO NAKWAMBIA hata kama hutaki kwenda bar basi nenda hata jumuiya kusali au kanisani kwenye sherehe mbalimbali hata kama ni birthday we hudhuria tu utaonekana.
 
haya wana jf kwa wanaohitaji mke maridhawa.....

NATAFUTA MUME........

Habari zenu wadau. Nina miaka 34, nimesoma nina kazi nzuri, na pia naamini ninavutia kiasi kama mwanamke.

Nimetoka kwenye familia yenye maadili,nimelelewa vizuri sina maskandal yoyote kama wasichana wengine wa mjini nina tabia nzuri nimekuwa na maboyfriend wanne tu maisha yangu yote, sielewi ni kwanini mpaka leo hii hajatokea mwanaume wa kunioa.

Sielewi tatizo ni nini, ushauri naotafuta ni hivi,nifanyeje niweze kupata mume? Akiwa mtanzania mwezangu au mzungu ni sawa tu.

Msinielewe vibaya sio kama nimekuwa desperate ila najisikia vibaya rafiki zangu karibia wote wameolewa na wana watoto nimebaki mimi kila mtu ananinyooshea kidole.

Kuna waanawake wengi mji huu wanatabia mbaya sana ila kila siku unasikia mmoja wao kaolewa,mimi sijui hata madisco ni mtu wa kwenda kazini na kurudi nyumbani yani nimelelewa kwa maadili mema.

Nisaidieni mwanamke mwenzenu
anabana sana ndio maana haolewi wanne tu? inabidi apate kama 60 hivi hapo mmojawapo lazima ataingia king
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom