Dini yako.....una nini cha ziada kuliko hiyo simu yako...umepanga vyumba vingapi....unatumia jiko gani..ges,umeme au mkaa...mwisho unafanya ibada...
Unauliza makofi polisi?
Any one interested na mimi ani-pm am lonely nahitaji mtu serious atakaye nipenda na kunijali cause nimemiss kuenjoy mapenzi miaka mingi now.
If not interested pita kimya
Naona hii ilinipita. Je ushampata huyo mtu wa kuchat nae? Je upweke umekutoka?
Kama bado nijulishe japo kwa pm ili nijitambulishe rasmi.