Natafuta mpenzi (mchumba)

meba

Member
May 5, 2012
99
9
(This is serious) Mimi mwaume umri miaka 25 nipo Saut mwanza nafuta mpenzi mwenye tabia nzuri ambae tutakuja kuoana nikimaliza chuo mwakani, tuacliana kwa namba 0656179600
 
I guess u've got hooked up to the internet lately.
 
(This is serious) Mimi mwaume umri miaka 25 nipo Saut mwanza nafuta mpenzi mwenye tabia nzuri ambae tutakuja kuoana nikimaliza chuo mwakani, tuacliana kwa namba 0656179600

Soma acha u.bwe.ge, nani kakuambia wanawake ni adimu kiasi cha kuomba msaada wa mtandao?, au umeona simu iko idle unataka upate watu wa kukubip!
 
Wote mnaongea pumba tu. mm nipo serious. Kama hili halikuhusu si unyamaze Watanzania ndo maana humfanikiwi mnapenda kupoteza muda kuchangia pasipo kuhusu
 
Wanaume nao wanatafuta wapenzi kwenye mitandao? Kweli nimeamini vijana wa siku hizi hawajui kutongoza. Hesabu mnasema ngumu, hata kutongoza nako kugumu. Kipi kirahisi sasa? Ptuuu!
 
hahahaaa! kuna jambo unaficha ndugu,yaani unashindwa kumtafuta binti wa kuoa katika mazingira uliyoishi mpaka unatafuta mtandaoni? duu! wewe uaminiki.
 
hahahaaa! kuna jambo unaficha ndugu,yaani unashindwa kumtafuta binti wa kuoa katika mazingira uliyoishi mpaka unatafuta mtandaoni? duu! wewe uaminiki.
mapenzi ni popote mbona wengi wamefaniwa kupata kwenye mtandao mm mwaminifu sana jack nieleweni mm nko serious
 
Kama kweli uko serious huwezi kuniambia hapo chuoni umekosa. Tatizo ninaloliona ni udomo zege wako.
 
Asprin, mfundishe basi tulivyotongozana kwenye uzi wa Konnie asali wa ODM.

Inaelekea mababu hamuwapeleki wajukuu zenu jandoni.

Wanaume nao wanatafuta wapenzi kwenye mitandao? Kweli nimeamini vijana wa siku hizi hawajui kutongoza. Hesabu mnasema ngumu, hata kutongoza nako kugumu. Kipi kirahisi sasa? Ptuuu!
 
Last edited by a moderator:
unatutia aibu wanaume wenzako kwa udomo zege wako. We chuo kizima umekosa demu hadi uje huku..... MTU MZIMA OVYOOOO! (*_*)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom