nenda buhongwa wapo kibao.
(This is serious) Mimi mwaume umri miaka 25 nipo Saut mwanza nafuta mpenzi mwenye tabia nzuri ambae tutakuja kuoana nikimaliza chuo mwakani, tuacliana kwa namba 0656179600
mapenzi ni popote mbona wengi wamefaniwa kupata kwenye mtandao mm mwaminifu sana jack nieleweni mm nko serioushahahaaa! kuna jambo unaficha ndugu,yaani unashindwa kumtafuta binti wa kuoa katika mazingira uliyoishi mpaka unatafuta mtandaoni? duu! wewe uaminiki.
hapo chuon hujaona wa sifa uzitakaza?
Wanaume nao wanatafuta wapenzi kwenye mitandao? Kweli nimeamini vijana wa siku hizi hawajui kutongoza. Hesabu mnasema ngumu, hata kutongoza nako kugumu. Kipi kirahisi sasa? Ptuuu!