nimeanza kukupenda kwa ghafla...mshefa ni 'out of the league' guy..
hiyo tafsiri yako ni mchafuzi....
mshefa ni a guy ambae ni reliable na haachi 'regrets 'kwa mwanamke...
the type of a guy you call unapokwama lol

its not that deep AshaDii.... its just dipping and thats itNow i know we are in trouble... deep.. deep... deep...
its not that deep AshaDii.... its just dipping and thats it
I am sure Carmel is hot right now!!
its not that deep AshaDii.... its just dipping and thats it
I am sure Carmel is hot right now!!
loh? yamekuwa hayo? na mimi natangaza nafasi ya kuwa small house
mshefa ni 'out of the league' guy..
hiyo tafsiri yako ni mchafuzi....
mshefa ni a guy ambae ni reliable na haachi 'regrets 'kwa mwanamke...
the type of a guy you call unapokwama lol
Ukipata mimba itakuwa ya mmeo au ya kidumu?
Wengine tunadai damu zetu hata mbele za waume zenu!
usjaribu kama U still hav a wish to marry someone, kwa asilimia kubwa ya wadada wakisha ingia huu mkenge wanaishia kuwa na familia isiyo na baba...its a bit sucrifice unless ur ready to take it, U can go onloh? yamekuwa hayo? na mimi natangaza nafasi ya kuwa small house
wazungu wa kwenye tamthilia huwa hawana sana haya mambo!!Hilo suala kulitatua hata Mitume wameshindwa itakuwa mimi na wewe
Wanawake ishini maisha yenu vile mpendavyo, mume akichukua nyumba ndogo, so be it. Sio kuishi kwa khofu ya probability and chance
Maswali mengine bana........khaa! Ni sawa na kuulizia magwanda CHADEMA.babu hebu nijuze, hivi kwenye small house huwa mnajilipua? (mwanafunzi makini,najitahidi kukremisha notes nisije nikachemsha,lol)
Maswali mengine bana........khaa! Ni sawa na kuulizia magwanda CHADEMA.
Hivi hukumbuki shem wangu alisema anaprefer heat and run cheatings?........Nyumba ndogo ni full milipuko!
usiuze sana nyaraka mazee, nyingine bado ni classified hadi tukifiksiha miaka sabini....Maswali mengine bana........khaa! Ni sawa na kuulizia magwanda CHADEMA.
Hivi hukumbuki shem wangu alisema anaprefer heat and run cheatings?........Nyumba ndogo ni full milipuko!