In other words ni kwamba the MAN i have saizi... to me he is perfect!! Hivo kama kweli yupo atakae weza pita hio perfection... Then I am good....lol
Thats my girlie........ si unajua mie na hommie rule namba tatu haituhusu?Vigezo vya ushem:-
Mashemeji woote wanaruhusiwa ku apply kasoro tu "Darling Shem" na you know i only have one darling shem....
In other words ni kwamba the MAN i have saizi... to me he is perfect!! Hivo kama kweli yupo atakae weza pita hio perfection... Then I am good....lol
And your point is ...?
Exactly that.... Kua i do have a Man i feel and know is perfect... Hivo kama yupo ambae atazidi hio perfection na kufikia the vigezo i have given then anaqualify....
Mwalimu uko darasani au kwenye kitchen party?First there is nobody perfect ....but lets forget that for a minute. Kupita perfection ni kwenda wapi?
Thats my girlie........ si unajua mie na hommie rule namba tatu haituhusu?
As long as, You love the MAN, Hakuna comparison... siku ukiona unaanza kum-compare na viumbe wengine basi ujue biashara imeisha.. Huna haja ya kusubiri..
Mwalimu uko darasani au kwenye kitchen party?
First there is nobody perfect ....but lets forget that for a minute. Kupita perfection ni kwenda wapi?
Sijambo, shkamoo mwaaalim!Niko darasani .........:]]
Mzima sana lakini?
Exactly that.... Kua i do have a Man i feel and know is perfect... Hivo kama yupo ambae atazidi hio perfection na kufikia the vigezo i have given then anaqualify....
Sijambo, shkamoo mwaaalim!
khaaaaa! Mwalimu umekomaa utafikiri unafundisha VETA!Nilikuwa narejelea hapo penye nyekundu. You can only feel he is perfect, you can never know....or you can believe he is perfect but you can never know that he is.
Mwalimu una mpango wa kunipeperushia ndege wangu mchana kweupe namna hii?Marahaba...mama hajambo? mama watoto jee? Sarafina jee
Mwalimu una mpango wa kunipeperushia ndege wangu mchana kweupe namna hii?
Kwanza hayuko kwenye sredi hii, mpango wako umekwama............ ngoja nikamgandishe kulekule.Sarafina hataki stress ........Sasa akitangazwa mapema najua hilo suala la stress litapungua au?
Kwanza hayuko kwenye sredi hii, mpango wako umekwama............ ngoja nikamgandishe kulekule.
Too late.......niko naye busy kwenye PM tayari...... Nshakwambiaga unoko hausaidii. Ishakula kwako mazima sasa!Mpango "sabotage nyumba ndogo" unavuma sana hapa JF lakini hauzai matunda......inabidi watu waje na mikakati mipya. Na nadhani best way ni kuanza na kina Sarafina wasikubali