NATAFUTA MKE WA KUOA

Airforce

JF-Expert Member
Sep 15, 2016
299
96
Habairi wana JF, Pasi na Shaka Mwaka ndio unaisha, na kila mtu ni wakati wa kujitathimini mafanikio, kasoro na mapungufu mbalimbali katika kutekeleza mipango aliyojiwekea mwenyewe mwanzoni mwa MWAKA.
Katika mipango yangu sijafanikiwa kuoa na Nina miaka 33 na sifa zifuatazo
1. Mrefu sio mweusi na sio mweupe
2. Nina degree
3. Nimejiajiri (kampuni)
4. Mkristo
5. Sivuti kitu chochote
6.sio mlevi
7. Sio mzinzi
8. Mchamungu
9. Nafanya kazi kwa bidii
10. Najitegemea
11. Ninajali
12. Msafi

SIFA ZA MWANAMKE NINAE MUHITAJI
1. Mrefu wastani
2. Awe msafi sana
3. Elimu kuanzia diploma kwenda MBELE
4. Mwenye uelewa mpana wa maisha
5. Mkristo hasa mkatoliki
6. Awe anavutia
7. Awe msikivu na anaeshaurika
8. Mcheshi na anependa wageni
9. Awe mcha Mungu
10. Asiwe na MTOTO
11.asiwe malaya
12. Asiwe mhaya wala mrangi au wairaki samahani kwa hiki KIGEZO Ila lazima
13. Awe hajawahi fungwa

Kwa atakae kua tayari ani PM ni kwa mtu serious Tu
 
Kwa kosa lolote ambalo amewahi kosa lokampelekea kuhukumiwa kifungo
 
Mungu akubariki ndugu yangu .Utapata
Mbona wengi wanapata hapahapa ni kuvumilia tu.
MTU asikukatishe tamaa hata ukikosa now but trust me utapata tu
 
HAPANA mkuu ninahofu NAO sana , kwa series of events nilizo shuhudia
 
Habairi wana JF, Pasi na Shaka Mwaka ndio unaisha, na kila mtu ni wakati wa kujitathimini mafanikio, kasoro na mapungufu mbalimbali katika kutekeleza mipango aliyojiwekea mwenyewe mwanzoni mwa MWAKA.
Katika mipango yangu sijafanikiwa kuoa na Nina miaka 33 na sifa zifuatazo
1. Mrefu sio mweusi na sio mweupe
2. Nina degree
3. Nimejiajiri (kampuni)
4. Mkristo
5. Sivuti kitu chochote
6.sio mlevi
7. Sio mzinzi
8. Mchamungu
9. Nafanya kazi kwa bidii
10. Najitegemea
11. Ninajali
12. Msafi

SIFA ZA MWANAMKE NINAE MUHITAJI
1. Mrefu wastani
2. Awe msafi sana
3. Elimu kuanzia diploma kwenda MBELE
4. Mwenye uelewa mpana wa maisha
5. Mkristo hasa mkatoliki
6. Awe anavutia
7. Awe msikivu na anaeshaurika
8. Mcheshi na anependa wageni
9. Awe mcha Mungu
10. Asiwe na MTOTO
11.asiwe malaya
12. Asiwe mhaya wala mrangi au wairaki samahani kwa hiki KIGEZO Ila lazima
13. Awe hajawahi fungwa

Kwa atakae kua tayari ani PM ni kwa mtu serious Tu
Nimekosa kigezo cha urefu jamanii!
 
Da

Dah sijuhi nije pm maana kigezo cha Usafi ndicho kilichonivutia zaidi.
Sijui nianzie WAP kuja pm😀😀😀 wacha mwaka uishe ntajua LA kufanya.

Wakaka smart watakuja niuwa mm juzi town nusu nigongwe na gari ilibidi nimsindikize kwa macho😀 maana yule kaka alivyokuwa smart nilijikuta natenda dhambi ya kumtamani.nikawaza hawezi kuwa hivi smart afu kwake kuchafu.😀😀😀😀

Kila LA Kheri mkuu ila umenichekesha sana kigezo 13 umewaza nini? Mdada kweli atakuwa alishawahi fungwa kwa kosa lip? Loh nimecheka sana
 
Habairi wana JF, Pasi na Shaka Mwaka ndio unaisha, na kila mtu ni wakati wa kujitathimini mafanikio, kasoro na mapungufu mbalimbali katika kutekeleza mipango aliyojiwekea mwenyewe mwanzoni mwa MWAKA.
Katika mipango yangu sijafanikiwa kuoa na Nina miaka 33 na sifa zifuatazo
1. Mrefu sio mweusi na sio mweupe
2. Nina degree
3. Nimejiajiri (kampuni)
4. Mkristo
5. Sivuti kitu chochote
6.sio mlevi
7. Sio mzinzi
8. Mchamungu
9. Nafanya kazi kwa bidii
10. Najitegemea
11. Ninajali
12. Msafi

SIFA ZA MWANAMKE NINAE MUHITAJI
1. Mrefu wastani
2. Awe msafi sana
3. Elimu kuanzia diploma kwenda MBELE
4. Mwenye uelewa mpana wa maisha
5. Mkristo hasa mkatoliki
6. Awe anavutia
7. Awe msikivu na anaeshaurika
8. Mcheshi na anependa wageni
9. Awe mcha Mungu
10. Asiwe na MTOTO
11.asiwe malaya
12. Asiwe mhaya wala mrangi au wairaki samahani kwa hiki KIGEZO Ila lazima
13. Awe hajawahi fungwa

Kwa atakae kua tayari ani PM ni kwa mtu serious Tu
Njoo pm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom