The bump
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,139
- 1,959
Eneo Duka Lilipo : DAR - STOP OVER
MAJUKUMU :
1.Kuuza Vitu Dukani
2.Kuwashawishi Wateja Kununua Kwa kuwaelezea Faida na Hasara ya Kutotumia Bidhaa Husika.
3.Usafi wa Vitu na Duka Zima kwa Ujumla
4.Ku record Mauzo ya Siku husika/Matumizi ya Siku Nzima,nk.
SIFA ZA BINTI ANAEHITAJIKA
1.Uwe na Elimu ya Kutosha kujua Hasara na Faida ya Kitu unachofanya Hapa Duniani.
2.Uwe Atleast Umefika Form Four na kwenda Chuo Chochote kile au Elimu zaidi ya Hiyo pia.
3.Uwe Mrembo/Msafi/Unaejipenda Kuanzia Mwili wako mpka Mavazi Yako.
4.Ujue Kusoma/Kuandika/Kuongea/Kusikia Kingereza kwa Ufasaha.
MUDA WA KAZI
JUMATATU - JUMATATU
Hamna Mapumziko yakukaa nyumbani siku nzima Bali kuna siku za Kupumzika kwa masaa kadhaa..
Kufua na Kufanya Usafi Unapoishi Utachelewa kuja/kuingia kazini.
Kupunguza Uchovu ili ulale uondoe uchovu Utachelewa kuja/kuingia kazini.
MUDA WA KUINGIA/KUTOKA KAZINI
12:00 ASBH (kuingia)
4:00 USKU (kutoka)
NOTE :
Kama hauna vigezo husika usije inbox, Naomba Wataokuja wawe tu Wahusika wahitaji.
NAULI ya KUJA kazini na Kuondoka 2000 itatolewa kila siku.
Ni NNJE ya MSHAHARA...