Natafuta mchumba

Mkuu ungeweka Ka-CV kako ingeongeza morali kwa Wachumbaz hasa eneo la Kipato isijeikawa unataka kuwa Marioo.
 
Mkuu ungeweka Ka-CV kako ingeongeza morali kwa Wachumbaz hasa eneo la Kipato isijeikawa unataka kuwa Marioo.

KA CV KANGU NI HAKA
1. MASTERS DEGREE (FULL TIME UK)
2. CPA (T)
3. MKE NA WATOTO WAWILI
4. MWAJIRIWA SERIKALINI
Nadhani ulitaka hivi.....
 
Nilijua wewe ni dume....ndo nikajitahidi kuepuka kukuita "dada......."

Makalio yako wewe

hataww.jpg
 
KA CV KANGU NI HAKA
1. MASTERS DEGREE (FULL TIME UK)
2. CPA (T)
3. MKE NA WATOTO WAWILI
4. MWAJIRIWA SERIKALINI
Nadhani ulitaka hivi.....

Rejea #3 ya CV yako, hivyo huyu mchumba unayemtafuta atakuwa mke wa pili? Funguka zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom