Man Ngosha
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 219
- 69
Mimi naitwa Amos,nina miaka 26,nahitaji msichana mwenye mapenzi ya dhati na mwenye hofu ya Mungu,ambaye tutakuwa wapenzi na Baadae tutaingia katika ndoa!!awe mrefu wa kati,umri 22 - 24,elimu kuanzia diploma!elimu yangu ni degree!!Ningependa awe Dodoma kwa sababu mimi pia nipo Dom kwa sasa!!kwa aliye tayari aniPM au amosjohn14@rocketmail.com.au anicall hapa 0759662423.