Natafuta mchumba!!

Man Ngosha

JF-Expert Member
May 2, 2012
219
69
Mimi naitwa Amos,nina miaka 26,nahitaji msichana mwenye mapenzi ya dhati na mwenye hofu ya Mungu,ambaye tutakuwa wapenzi na Baadae tutaingia katika ndoa!!awe mrefu wa kati,umri 22 - 24,elimu kuanzia diploma!elimu yangu ni degree!!Ningependa awe Dodoma kwa sababu mimi pia nipo Dom kwa sasa!!kwa aliye tayari aniPM au amosjohn14@rocketmail.com.au anicall hapa 0759662423.
 
Mimi ni kijana umri miaka 26,nahitaji msichana mwenye mapenzi ya dhati na mwenye hofu ya Mungu,ambaye tutakuwa wapenzi na Baadae tutaingia katika ndoa!!awe mrefu wa kati,umri 22 - 24,elimu kuanzia diploma!elimu yangu ni degree!!Ningependa awe Dodoma kwa sababu mimi pia nipo Dom kwa sasa!!kwa aliye tayari aniPM au amosjohn14@rocketmail.com.

pm me am in dom
 
Join Date : 2nd May 2012
Posts : 10
Rep Power : 303
Likes Received2
Likes Given0
 
Kuna dada hayuko kwenye mtandao huu ana umri wa miaka 27 Amesomea ualimu Diploma. Kama anakufaa sema tukuuunganishe. Ni mchamungu sana Kanisani
 
hapo dodoma kote wachumba wamekosekana..pole sana nina rafiki zangu mitaa ya Area C zunguka zunguka mnaweza kukutana :israel:
 
Kuna dada hayuko kwenye mtandao huu ana umri wa miaka 27 Amesomea ualimu Diploma. Kama anakufaa sema tukuuunganishe. Ni mchamungu sana Kanisani
Hahahahaha! Vipi ushampiga chini siyo?
 
Asante first lady1,hata mie naishi Area C sema wengi wao pale kitaa hawajatulia!!
 
Kuna Dada yupo makole aliniambia anatafuta msebule mtafute? Au mchumba wako ni size gani? 15mx12m?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom