Wkaijage Senior Member Feb 14, 2012 195 13 Apr 29, 2012 #21 Comments zote hizi,hajatokeza wa kuolewa jamani,jamani.
hothowtie Member Apr 25, 2012 26 4 Apr 29, 2012 #22 kiLimIlire said: Mwenye nidhamu ya juu, huwezi kumpatia hapa. Click to expand... Hahahah..mimi nimelelewa vyema mbona-na tabia njema ninayo haswa!!usimtishe bwana..bado tupo! Sio kwamba najisifia-tabia yangu Mashallah!
kiLimIlire said: Mwenye nidhamu ya juu, huwezi kumpatia hapa. Click to expand... Hahahah..mimi nimelelewa vyema mbona-na tabia njema ninayo haswa!!usimtishe bwana..bado tupo! Sio kwamba najisifia-tabia yangu Mashallah!