Natafuta mchumba.

kaburu mdogo

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
567
400
binafsi mimi ni kijana wa umr wa miaka 27,ni mwanafunz wa mwaka wa tatu chuo cha st John dodoma.natafuta mchumba ambaye mungu akipenda tutakua mwili mmoja hapo baada,dini wala kabila sizingatii sana ilimradi tu awe na umri kuanzia miaka 20 hadi 27,awe na nidhamu ya hali ya juu kuanzia nyumbani,na nje ya hapo,mcha mungu na anaejua nini maana ya maisha.tafadhali hiki ni kitu ambacho nipa kipaumbele kikubwa na nipo nacho serious hivyo kama upo tayari tuwasiliane\
 
Ni vyema umetoa huru wa maoni yako, lakini matangazo kwenye suala la mapenzi ababu mnakaa mazingira ya pamoja.a vya kutosha sni tatizo kutakuta kwenye msafara wa mamba hata knge wapo.Nadhani hapo chuoni ni mahala pa zuri kupata mchumba, naloona una thrika ya woga , jieleze utapata mchumba mzuri utakaye mchunguza vizuri z
aidi sababu mtakuwa mnakaa eneo moja lenye mazingira ya kufanana.Pia atakuwa msomi wa kufanana na wew.

hakika nijuavyo na nilivyoona wanafunz wengi wapo kimaslahi zaidi
 
Hivi msichana hayupo kwenye kundi la vijana? upo chuo mwaka wa 3 lakini unashindwa kujieleza statement ndogo kama hizi?
Sasa hapa watu wanawezaje kuijuwa jinsia yako? au hauoni kama maelezo yanamis some strong point?
 
We uko nyuma ya calender nn amna mwanamke ambae ana mapenz ya kwel,(akunaga mapenz yale na kupendana n zama za kale)
 
binafsi mimi ni kijana wa umr wa miaka 27,ni mwanafunz wa mwaka wa tatu chuo cha st John dodoma.natafuta mchumba ambaye mungu akipenda tutakua mwili mmoja hapo baada,dini wala kabila sizingatii sana ilimradi tu awe na umri kuanzia miaka 20 hadi 27,awe na nidhamu ya hali ya juu kuanzia nyumbani,na nje ya hapo,mcha mungu na anaejua nini maana ya maisha.tafadhali hiki ni kitu ambacho nipa kipaumbele kikubwa na nipo nacho serious hivyo kama upo tayari tuwasiliane\

mwenye nidhamu ya hali ya juu unaweza mpata Jf? Huku kuna artificial discipline mzee nenda sitimbi
 
kwanini mwenyenidhamu asipatikane hapa? hii n sehemu fun ,but wapo wengi wenye heshima
 
Focus kwenye masomo inshallah Mungu atakujalia kazi, save $ zakutosha then nunua gari,jenga nyumba nzuri-hapo ukikosa ni dhahiri kuna mkono wa MUTU
 
binafsi mimi ni kijana wa umr wa miaka 27,ni mwanafunz wa mwaka wa tatu chuo cha st John dodoma.natafuta mchumba ambaye mungu akipenda tutakua mwili mmoja hapo baada,dini wala kabila sizingatii sana ilimradi tu awe na umri kuanzia miaka 20 hadi 27,awe na nidhamu ya hali ya juu kuanzia nyumbani,na nje ya hapo,mcha mungu na anaejua nini maana ya maisha.tafadhali hiki ni kitu ambacho nipa kipaumbele kikubwa na nipo nacho serious hivyo kama upo tayari tuwasiliane\
Simama kwenye kona ya kuingilia cafeteria then ufanye systematic sampling!!!!!!!!!!!
 
Naunga mkono 100% asimame cafeteria/library akiona kabla ya kula au kusoma anasali amtokee na kumwambia kuanzia leo nikichoka naoma niwe nakupigia simu baaasi ili nami uniombee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom