Natafuta mchumba

Civil Eng ushamkuta juu ya nyumba anajenga boma/ anapaua?? Au kazi ni kuplan na kudirect mafundi sasa?
Lakini kama hawezi kupanda na kujenga inakuwa shida mahali,mimi nipo huko,kuna muda inabidi uwaelekeze mafundi kwa vitendo. Mimi nyumba yangu nilijenga mwenyewe kwa mikono yangu. Kuna muda muda mafundi maelekezo yanahitaji vitendo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom