Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 48,615
- 42,404
Wewe unaye?kosa langu nini sasa si nataka wenzangu wapate
Wewe unaye?kosa langu nini sasa si nataka wenzangu wapate
😂😂😂shem kasema ye Eng. lakini ila ata fundi si Eng auKwahiyo shemeji ni Eng wa umeme au fundi umeme?
Hata Civil Eng ni fundi lakini sio fundi mwashi 😂😂
ninaoWewe unaye?
Wasalimieninao
sio mim mkuu 😥(90s)Siulisema bado unadeka? 😁
Ahhhh tafuta mtaani bana acha uvivuSikuhiz kilakitu tuna oda online
Kujichoresha tuSikuhiz kilakitu tuna oda online
🤣🤣🤣 Sawaooooh ah ayangoja tuwasubiri wagalatia na wakorintho wakija
DuhMbona hujibu pm yangu?
Dini tutatumia yako
Lakini kama hawezi kupanda na kujenga inakuwa shida mahali,mimi nipo huko,kuna muda inabidi uwaelekeze mafundi kwa vitendo. Mimi nyumba yangu nilijenga mwenyewe kwa mikono yangu. Kuna muda muda mafundi maelekezo yanahitaji vitendo.Civil Eng ushamkuta juu ya nyumba anajenga boma/ anapaua?? Au kazi ni kuplan na kudirect mafundi sasa?
Njoo telegramDuh! Hunitaki au?