mysteryman
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 977
- 176
- Thread starter
- #21
jamani mi nilisema kwa roho safi tu lakini naona watu wanakuuuza ....acheni hizo bana kuweni na upeo mpana jamani....hebu jiulize kuna watoto wangapi wasio na baba huko mitaani na wao wanatamani kumpata mtu wa kumwita baba....???na nilipo sema mtoto wa kike sikuwa na maana mbaya...hivi mnajua mateso wanayopata watoto hasa wakike wasio na wazazi huko ktk jamii??? mnajua??? sina maana kwamba wa kiume hawapati tabu lakini wa kike wanapata tabu mara mbili kwa sababu ya jinsia yao....na wala sikutegemea mwanamke angeweza kubeza hayo maamuzi yangu hata kwa uchache ....tatizo ni kutokuwa na upeo mpana....kama ishu ni mchumba basi sitaki tena nimeghairi lakini mtoto ntaenda ku adapt na ntaishi nae.....ebo