Natafuta Mchumba/Mke

ESR

Member
Jan 3, 2023
19
28
Mimi ni mwanaume wa miaka 38, ninatafuta mke wangu/mwenza wangu wa maisha.
Muonekano wangu.
Urefu- Mrefu Kiasi cm 173
Rangi- Mweusi.
-Sio mnene wa sio mwembamba (umbo la kawaida)
Elimu yangu- degree 2
Kazi- Mtumishi (Taasis ya Serikali)

Sifa za ninae Mtafuta.
Rangi- Yoyote.
Miaka - Kuanzia 25 na kuendelea.
-Awe amejiajiri au muajiriwa.
  • Single parent ( single mother) namkubali pia
  • Awe mcheshi ( Napenda utani).
-Awe na Elimu yoyote.
-Awe anajipenda, kimavazi na mengine.
- Awe anaweza kuvaa nguo zozote ilimradi apendeze (Hapa nitajitahidi kadri nitakavyoweza kumpendezesha mke wangu).
-Awe na nafasi ya kutoka na mimi kwa ajili ya refleshment (hasa weeknd).

Pamoja na hayo, ninavutiwa sana na mwanamke mwenye maono (vision) hasa katika maendeleo. Awe tayar kutoa ushirikiano hasa katika kupanga maendeleo ya familia yetu.

Asiwe tegemezi wa mawazo, napendelea mawazo mbadala katika kuboresha na ustawi wa familia.

Niko tayari kumpa ushirikiano hasa akitaka kunifaham kiundani kwa maana ya back ground yangu!

(Karibu Inbox mchumba)
 
Nikitaka kwenda inbox inatoka iv itakua ni nn wadau
Screenshot_20230104-230441.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom