Natafuta mchumba jamani

Wakuchakachua

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
346
9
Natafuta mchumba jinsia ya kiume, sina sifa nyingi ni moja tu aweanajua majukumu yake kama baba wa familia.

Elimu hata ka dergee kamoja kananitosha akiwa juu ya hapo yote heri.

Awe mcha mungu. Muonekano wa nje sijali sana.

Kwa atakaye ani PM (am serious):A S 8:
 
‘Hata kadegree kamoja': specify hapa pls, inaonekana 'kadegree kamoja' hakana nguvu sana kwako, naogopa kujitosa mie japo ni mhitaji.
 
'..hata kadegree kamoja': specify hapa pls, inaonekana 'kadegree kamoja' hakana nguvu sana kwako, naogopa kujitosa mie japo ni mhitaji.

USHAFELI
UNAONEKANA HAUJIAMIN..jiamini kwa kadregree kamoja pia utaweza kuwa baba mwema icho ndo anaitaji mtoa mada

mtoa mada seems 2b free soul so utapata maombi meng
ol da best wa kuchakachua bt uwe serious kweli usije ukawachakachua wenzako
 
Hivi kuna walioshafanikiwa humu Jamvini kupata mwenza wao?..... Mods I said it Once and I will Say it Again, na wengi wameshasema... (Wengi Wape sasa Kama Demokrasia inatushinda humu Jamvini Tu Je huko Nje Tutaweza?)

Tunahitaji Singles forums itasaidia wengi....... tena if you ask me unaweza ukalifuta lile Jukwaa la Uchaguzi 2010 ukabadilisha Jina Tu sababu hilo Jukwaa halina faida... Ila seriously Single Forums iwe Sub Forum ya Mahusiano....
 
jamni tupewe tu maana lolooo hatulali kwa mawazo labda huko tutatokamo jamani...........yeleeeeeeewi!!
 
badilisha jina bibie kwani linaweza kuwakwaza baadhi ya watu.

aidha hujasema kama utakubali kuwa mke namba 2 au 3 au 4
kwani nalo linawezekana pia.
 
USHAFELI
UNAONEKANA HAUJIAMIN..jiamini kwa kadregree kamoja pia utaweza kuwa baba mwema icho ndo anaitaji mtoa mada

mtoa mada seems 2b free soul so utapata maombi meng
ol da best wa kuchakachua bt uwe serious kweli usije ukawachakachua wenzako
Unajua Rose, kusema mchumba manake aitwe mme baadae, na hapa huanza safari ndefu sana, hivyo mimi najaribu kuchek tyre pressure, na vitu vingine ili safari ifike mwisho wake.. Ukianza hivihivi huwezi kufika

Anayejiamini anauliza ili kutoa kiwingu
 
OOOOOOOOOOffuu thanx God i got a baby.....

Mwanzoni niliposoma jina lako nilikuwa na wasiwasi maaaana limekaaa kiume na vile huna avatar ila du sijui.....Can I be considered:wink2:
 
Hivi hi JF kuna wakaka single kweli??mbona mi siwaonagi wakichangamkia opportunities ka hizi, my dear ukimpata uje useme ili na ma-single ladies wengine warushe ndoano zao..............LOL
 
Nina sifa zote za mume bora ila umenitoa no kauti kwa kigezo cha degree maana mimi ni darasa la saba.Sasa kama ukinikubalia kisha ukaniendeleza mpaka nipate hako kadegree itakuwa vyema na hutojutia uamuzi wako,ila tu naomba niulize,hivi degree nayo ni sifa ya mume bora siku hizi?
 
Hivi hi JF kuna wakaka single kweli??mbona mi siwaonagi wakichangamkia opportunities ka hizi, my dear ukimpata uje useme ili na ma-single ladies wengine warushe ndoano zao..............LOL

Yaani hivi kweli haujatuona????, Mbona kuna watu wengi tu kina kaka wameshatuma application zao...... kichwani tu kwa haraka haraka nimeshaona kama kumi hivi...... Thats why nasema MODS do the neadfull anzisha Singles Forum..... Tena Please Fanya ASAP.....
 
Unapenda kuendelezwa eeeeh,degree ni moja ya sifa wewe na watoto wake watakula ma......... yako?excuse my language!at least degree ina guarantee.........LOL

Nina sifa zote za mume bora ila umenitoa no kauti kwa kigezo cha degree maana mimi ni darasa la saba.Sasa kama ukinikubalia kisha ukaniendeleza mpaka nipate hako kadegree itakuwa vyema na hutojutia uamuzi wako,ila tu naomba niulize,hivi degree nayo ni sifa ya mume bora siku hizi?
 
Nimesoma mahali wanasema wanamwomba Mod aweke jukwaa la watafutaji wachumba...Nadhani kila kunapokucha jukwa hili linazidi kujionyesha kuwa linahitajika zaidi...du!
 
HA! Wewe wa kike ama wa kiume!??
1. Badili jina kwanza..
2. Weka sifa zako..
3. we shall see how it goes!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom