Natafuta mchumba jamani

Tuseme ujiite: mkunde oko, Psalm31, Cutsey, Asali wa moyo, Mpenzi wa kweli, au jina lingine zuri tu!

sifa mbazo mi nigependa ni:
- of course asizidi 25 yrs.
- mkristo na siyo mkristo jina.
- mwenye mawazo ya kimaendeleo/kibiashara (for lack of a better example, akae kimachame zaidi wen it comes to a business mind)
- Encouraging
- atoke popote except coastal line (ni mtazamo tu, msinitupie mawe) na asiwe Mmachame (huu ni mtazamo wa baba yangu, ni wa zamani jamani, mumuelewe tu! av tried to convince him amekataa kubadili mtizamo)
- Labda tuanzie hapo..any hopes!??
-

heheheehe asitoke machame na hapo chini kwenye ujumbe wako umeandika nini? IRUA AKUNINGE BOOOOOOORA MAYE....SHIWANGE MANKA KWA NKUNDA NKA SHIKUNDA DA KWA NSHILEMA AIKA MAYE......NAKWAFOOOOOOOOO:wink2:
 
ukiona hivyo ujue labda Mungu anakuepusha na kitu Sound za Asubuhi Asubuhi hata kabla hamjaanza..... Inabidi mwanzo uwe all roses... and kisses... sasa mwanzo ukiwa mgumu.....:nono:

mmmh kweli mungu ni mwema kwa wote wamwendeao kwa moyo wa utakatifu nami naamini hapa hapa JF atatoka mume maana nilishaomba kwa bwana naye ni mwaminifu kwangu..........ndivyo ninavyo anza mwaka kwa kazi na maombi tu.....na hii ni safari yangu katka kutafuta mume mwema.........oloooolllooooo:sleep:
 
mmmh kweli mungu ni mwema kwa wote wamwendeao kwa moyo wa utakatifu nami naamini hapa hapa JF atatoka mume maana nilishaomba kwa bwana naye ni mwaminifu kwangu..........ndivyo ninavyo anza mwaka kwa kazi na maombi tu.....na hii ni safari yangu katka kutafuta mume mwema.........oloooolllooooo:sleep:

Mimi ni jiwe kuu walilolikataa waashi.
 
Jamani wana jamvi nitoe taarifa za awali katka mchakato huu! hadi muda huu kuna mtu mmoja ndie anaye shikilia chati kwa PMs, mchakato unaendelea wote mnakaribisha na nitakapo mpata mshindi majina yataandikwa hadharani bila hiyana tutaanza taratibu za ndoa.
Nimesema no kujuana tabia no what ni ndoa direct na maisha yatakuwa salama tu.......
ngojeni muone ......am more than serious
 
Hivi hi JF kuna wakaka single kweli??mbona mi siwaonagi wakichangamkia opportunities ka hizi, my dear ukimpata uje useme ili na ma-single ladies wengine warushe ndoano zao..............LOL

Da michelle mi niko serious, tatizo ni wewe hunielewi/huniamini. Niambie uko s...gle?
 
Basi ni vizuri tutengeneze JF Single club,kama wakaka wote hap wako single halafu hapa hapa watu wapo???hivi nani hatofurahi kuambiwa Paka Mweusi na Michelle walikutana hapa JF??ikaanza kama utani then ikawa kweli?manake bwana hamna sehemu maalum ya kukutana na mwenzi wako?????:A S 465::wink2: Mods please,mtoto wetu wa kwanza tunamuita Jamii Forum....................LOL

Mwaka sio wangu huu...:rain:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom