natafuta mchumba hatimaye mungu akijalia atakuwa mama wa watoto wangu

Shosti pole choice is urs ila hata mimi nimeogopa jambo hilo kwa sababu mtu niliyekuwa naye alikuwa muislam tukashindwa kwenye hili la dini. Kwa dini ni jambo muhimu hasa linapokuja hili suala ndugu zangu .
 
kwa kweli suala la dini ni siwe muongo mwanamke anabidi awe flexible kuwa mkristo mkatoliki hata kama anavigezo vingine
 
Vigezo vote ninavyo isipokua cha dini maana kanisani naeenda msikitini naenda ninachojua mungu ni mmoja
 
unajua kama uko serious nothing4good ur better choose my way kwani you seems uko flexible.
 
hapo iko shughuli! Jaribu kuwa flexible kuhusu hapo red!
mkuu kwa hilo nimetafakari sana sasa issue inakuja unaweza ukachukua mlokole au protestant akawa na misimamo sana hata hataki kusikia huo ukatoliki hapo kwangu ndo kazi
 
habari zenu wapenda mimi ni kijana(mwanaume) mwenye umri wa miaka 26 nina elimu ya chuo kikuu niamajeriwa nina tafuta mwenza wangu awe na sifa zifuatazo
1.mkristo mkatoliki
2.wa wastani(si mnene sana wa si mwembamba sana)
3 awe ana elimu walau form 4 na kuendelea
4.umri miaka 19-24
4.anayejtambua kuwa ni mwanamke na anayehitaji kuthaminiwa kama mama wa watoto
MIMI BINAFSI BAADHI YA SIFA ZANGU NI
engineer by profession
.maji ya kunde
.mwili wastani
.mnyamwezi
kwa maelezo zaidi unaweza nitumia private message .
pia unaweza mueleza rafiki yako kama unaona anavigezo ukipata bahati ya kupitia post hii ASANTENI


mmh 19 years ? huyo si mtoto bado? subiri kidogo utapata mke mwema. Nina mdogo wangu yupo mwaka wa tatu, miaka 22 sema ni mlutheri.

So hana vigezo unavyotaka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom